leo waislam wamefanya ibada kubwa mjin mtwara kuomba dua gesi ibak mtwara.waumini wamejitokeaza kwa wingi.kesho kutakua na maandamano makubwa.ntakua live kuwajuza wanajamii
Hakuna kulala mpaka kieleweke na wale waliokula ten percent ili kuchakachua mradi wa gas ili ije Dar matumbo yatakuwa yanawaka moto kwa sasa. Big up sana Waislamu