Ibada popote! New york taxi driver

Hapo hapati dhawabu yoyote ile huyo ni MNAFIKI tu,anafanya hivyo ili aonekane kuwa yeye ni swala tano wakati hakuna kitu hapo ni UNAFIKI tu.
Mwenyezimungu amuongoze adumu ktk khayrat na azidi kuifuata na amuepushe na batwil zote-AMIN
 
Miqafir utaijuwa tu!

panyarodi;
Hivi nilielewa vibaya Swala au? Si tuliambiwa tuelekee Quibla?? Hapo juu ya taxi alijuaje Quibla ipo wapi? Si angetafuta masjid haraka tu? Hao ndo wale tuliambiwa ni Wana.fi.kiii.
Usifanye hivyooo. Jiulize, alitawadha??? Usikimbilie tu uqafir
 
Akitoka hapo anakwenda kulipua watu wengine kwa mabomu! Dini ya giza tu hii!
 
hana lolote huyo.just a cheap public seeker.
 

Muislamu yoyote anayeijuwa dini kwa kufuata mafundisho na matendo ya Mtume wetu Muhammad ni lazima aijuwe ilipo Qibla.
 
Mnafiki utamjua tu kwa matendo yake ya kinafiki yaani anafanya mambo ili aonekane na wanadamu hana aibu huyo MNAFIKI.
Hapo umeuonaje unafiki wakati mwanadamu mwenzako anazungumza na Mungu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…