Usimdhihaki aliyeathirika maana kutoathirika si ujanja bali wote bado tunavuka mto. Kama hujaathirika leo waweza kuathirika kesho.
ni pm kamanda hakuna shida, tuko pamoja.nataka kusema kitu hapa ila naogopa nitashabuliwa sana, mkuu au nikupm.
aliye negative akikuridhia hutaki? hongera kwa kuwa positive na maisha ila ningekuwa positive na ninataka mume nisingeku-pm ng'o!! Historia ya MMU inaonyesha baadhi ya watu wanapiemiana, wakikutana nje ya pm wakashindwa kuelewana mambo yanakuja kuwekwa hadharani na mmoja wao. Ungeandaa mkataba wa usiri kabisaaa. Kwani huko clinics huwa hamkutani?
Sasa hapo ujasiri gani? Ujasiri ni kujitoa picha na jina lako la ukweli
Huhitaji kutafuta aliye positive mkuu. Tafiti zinaonyesha kwamba kwa waathirika wanaotumia kwa usahihi ARV hawawezi kuambukiza wengine. Kwa hiyo kama tayari umeanza kutumia ARV, na unaitumia kwa usahihi kabisa. Amini kwamba unaweza kuoa aliye negative, na hata mkaweza kuzaa pasipo kumwambukiza HIV. Kikubwa zingatia kumuandaa vizuri mwenzako na usiende round nyingi sana zinazoweza kusababisha michubuko mikubwa.
Kwa tafiti za hivi karibuni, zinaonyesha waathirika wanaweza kuishi hata miaka hamsini iwapo watatumia dawa kiusahihi. Tumaini lililo mbele yetu ni kuwa tafiti zinafanyika kuona namna ya kuachana na vidonge vya kumeza kila siku, na badala yake kuwa na sindano moja per year, or per six months.
There is life after HIV infection, be courageous!
veryHuhitaji kutafuta aliye positive mkuu. Tafiti zinaonyesha kwamba kwa waathirika wanaotumia kwa usahihi ARV hawawezi kuambukiza wengine. Kwa hiyo kama tayari umeanza kutumia ARV, na unaitumia kwa usahihi kabisa. Amini kwamba unaweza kuoa aliye negative, na hata mkaweza kuzaa pasipo kumwambukiza HIV.
Kikubwa zingatia kumuandaa vizuri mwenzako na usiende round nyingi sana zinazoweza kusababisha michubuko mikubwa.
Kwa tafiti za hivi karibuni, zinaonyesha waathirika wanaweza kuishi hata miaka hamsini iwapo watatumia dawa kiusahihi.
Tumaini lililo mbele yetu ni kuwa tafiti zinafanyika kuona namna ya kuachana na vidonge vya kumeza kila siku, na badala yake kuwa na sindano moja per year, or per six months.There is life after HIV infection, be courageous!