Iam looking for woman who will marry me

Iam looking for woman who will marry me

mmp

Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
33
Reaction score
2
Iam Tanzania man aged 30 years, Iam Looking for woman who will marry me.
 
mmmmh!


30yrs ago, hauna mwanamke utakuwa unamatizo makubwa sana
 
Mtoa mada mbna hajatoa vigezo na masharti yoyote?
 
kwan umri wa kuoa haufahamiki?,kala bata na vi dada vya Mrina leo anakuja kutangaza ndoa hapa,hata dada angu simpi
Umri wa kuoa ni upi? Labda kijijini kwenu mna umri wa kuoa unaoeleweka ila mi nijuavyo ni pale mtu anafikia muda anaona sasa anahitaji mwenza wa maisha haijalishi ana 40's au 10's
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom