Iam looking for male/female friends

oooh so point yako ni kuonyesha sina la maana??? at this age kuna wanaofanya makubwa sema tu umetawaliwwa na fikra zako unazoziamini..dont think kila alie umri huu ni wa kushow off fb na mitandao mingine.
tuko tofauti


Niambie nini unachokitafuta?
 
23 bdo mdogo sana???labda unishauri nianzie umri gani?nikae ndani mpk lini ndo nianze kujichanganya na watu..hujui hata graduates tunatumia njia hii kupata kazi?or unadhani kila binti anaepost hivi anatafuta bwana au anajiuza? niambie nijifunze smart
Kumbe ume graduate...
 
Binti ukijiunga tu jf wote ni marafiki zako!
Anzisha mada au changia mada kwa kila jukwaa kamwe hautakua bored!!
Huo urafiki wa PM mpaka mfahamiane ni kutafuta mafuriko na huishi bondeni.
 

Ma friend wa Kiume watakushawishi zinaa, kaa nao mbali kabisa La takrab zinaa
 
Ww ni graduate je hukuweza kupata marafiki masomoni???? We ni msichana huendi kanisani ??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…