Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
Serious nahitaji mwanamke aliye single wa umri huo ili awe wangu forever nina 27years now.
Njoo pm ukihitaji.
Njoo pm ukihitaji.
Why an older woman?
Seems hataki kupasua kichwa.. hataki akili za kitoto
Mmmh!!!!!!!!
Usifadhaike Mpendwa jaribu bahati au unganisha mwenye uhitaji
Mimi ni sina shida yahee, sijawahi kuwa na dhiki na ninyi watu.
Kwahiyo ww ni MAua ya uLAYA?