Iam looking a woman for longterm relation

Iam looking a woman for longterm relation

a/c2015

Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Hi Jf, i am Tanzanian Man Aged 32, a degree holder looking for a woman who will marry me next year. So the one who will meet my favourable demand, aged 20-28, atleast bachelor degree, who don't av a children, God Fearing, smartness, For more Information Just Pm.

Thanks
 
Pretaaaaaaa... niletee ile dikshenari yetu
 
Last edited by a moderator:
Chuoni hukuwaona?Nyie ndio Mnarudi hapa na kesi za ajabu ndoa ina matatizo,mke wa kukutana naye mtandaoni unategemea nini baadae?
 
Babu nahisi unagundu toka mwaka Jana duh, mshana jr na Mzizi mkavu njooni mumpe njia ya kusafisha nyota
 
Attachments

  • 1441057877218.jpg
    1441057877218.jpg
    33.9 KB · Views: 245
  • 1441057894698.jpg
    1441057894698.jpg
    38.3 KB · Views: 233
Last edited by a moderator:
Chuoni hukuwaona?Nyie ndio Mnarudi hapa na kesi za ajabu ndoa ina matatizo,mke wa kukutana naye mtandaoni unategemea nini baadae?
usimpotoshe mwenzio, mimi nilitafuta humu humu na nikapata and yet am married kutoka humu humu jf, nina ujauzito mkubwa tu

CC: geek jo
 
Last edited by a moderator:
Chuoni hukuwaona?Nyie ndio Mnarudi hapa na kesi za ajabu ndoa ina matatizo,mke wa kukutana naye mtandaoni unategemea nini baadae?

Hao waliokutana chuoni, kanisani ndoa zao zinawashinda.Ndoa nyingi zipo hoi japo walikutana live.
Tatizo sio mmekutana wapi, muhimu je mtapendana na kuheshimiama.
 
Hi Jf,iam Tanzanian Man Aged 32,a degree holder looking for a woman who will marry me next year.so the one who will meet my favourable demand,aged 20-28,atleast bachelor dgree,who don't av a children, God Fearing,smartness,For more Information Just Pm.thanks

Mkuu, si vibaya ukitumia kiswahili, itakusaidia kuwafikia wengi na pia itakusaidia kutokuonekana umeandika upu.pu
 
swala la kwamba umekutana na mwenza wako wapi nadhani halina umakini wowote. Mie nimetafuta humu na nimepata. Nipo ndoani miaka miwili na nusu sasa na mtoto wetu mmoja tumezaa. Wote tupo na furaha ya ajabu na hakuna tatizo la kwamba eti tumekutana jamii forum. Jamani humu kuna wanawake wema sana pia na wanaume haswaaaaa!. Cha muhimu ni kuomba sana kwa Mungu wako maana utakutana na mitihani mingi. Otherwise JF chama kubwaaaa!
 
Chuoni hukuwaona?Nyie ndio Mnarudi hapa na kesi za ajabu ndoa ina matatizo,mke wa kukutana naye mtandaoni unategemea nini baadae?

Usimkatishe tamaa. Hapa kuna watoto smart sana wee fuatilia tu utaona.
 
Chuoni hukuwaona?Nyie ndio Mnarudi hapa na kesi za ajabu ndoa ina matatizo,mke wa kukutana naye mtandaoni unategemea nini baadae?

Hawa si ndo wale chuoni walikuwa wanajifanya wagumu nn hawataki mademu!
 
Hi Jf, i am Tanzanian Man Aged 32, a degree holder looking for a woman who will marry me next year. So the one who will meet my favourable demand, aged 20-28, atleast bachelor degree, who don't av a children, God Fearing, smartness, For more Information Just Pm.

Thanks

Andika kiswahili naona kingereza kinakupiga chenga. Kina wenyewe babu! Nwei all th best.
 
Hi Jf, i am Tanzanian Man Aged 32, a degree holder looking for a woman who will marry me next year. So the one who will meet my favourable demand, aged 20-28, atleast bachelor degree, who don't av a children, God Fearing, smartness, For more Information Just Pm. Thanks

lugha ya malkia ilikuja kwa meli jamani. ''Kikristo'' bado ni sheedah to mosti ovu azi. Bora tukomae na kibantu chetu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom