😂😂😂😂😂mimi dogo walimpigia simu kuwa asijali, amepata udahili chuoni hapo, hivyo jina lake litakuwepo second round fani ya IT, wakati huo huo alikuwa amepata na NIT fani hiyo hiyo. Nikamwambia dogo confirm hiko hiko NIT kilichotoa jina lako katika multiple selection. Hao wanaokupigia simu na kukwambia umepata, ila jina lako litaambatanishwa na wa second round, achana nao Hawapo serious