IAA Dar es Salaam Campus first year 2023/2024

ushahd

Senior Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
176
Reaction score
104
Salaam wanajamvi

Naomba tujuane first year IAA Dar es salaam campus
 
Tuseme tu ukweli bila kumung'unya Maneno. Hiki Chuo kinagawa MASTERS Degree bwerereeeeeee ni Ada yako tu. Ukiwa pale hakuna kufeli ni kujiandaa na Graduation tu. Vyuo vya aina hii ni Janga kwa Mustakabali wa Taifa letu. Na vile Wabongo ni dizain ya Kambale yaaani tunapenda Mtelezo aka Kitonga kwa sasa hiki chuo kina Nyomiiiiiiiiiiiii la Wanafunzi ili wapate vyeti vya Kitonga bila Usomi kichwani.
Kazi kwako kuchagua, TCU endeleeni kulala Ofisini.
 
Wew una masters?
 
Huu uongo wa juu wakati kuna watu wamesoma hapo na wameshindwa kumaliza sababu ya dissertation Tena campus ya Dar hapohapo
 
Back
Top Bottom