SOLD: i3, ram 4GB, hdd 500GB bei poa

Status
Not open for further replies.

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,342
3,494
Hii ni nyingine baada ya ile kuuzwa,

Lenovo G40, ram 4gb, hdd 500GB, processor i3 imetumika ila sio sana na ipo katika hali nzuri kabisa. Bei 360,000 ukiwahi unapata zawadi ya mouse bure na bei itapungua kidogo.
nipo dar
 
Au kama ikiuzwa na ikawepo nyingine ya bajeti kuanzia 250-300 niambie
 
Hii ni nyingine baada ya ile kuuzwa,
Lenovo G40, ram 4gb, hdd 500GB, processor i3 imetumika ila sio sana na ipo katika hali nzuri kabisa. Bei 360,000 ukiwahi unapata zawadi ya mouse bure na bei itapungua kidogo.
nipo dar
300k ninayo ukiwa tayari pm me
 
Nicheki inbox tuongee nashida na laptop
20170317_100033.jpg
20170317_100023.jpg
20170317_094945.jpg
picha Hizo za hiyo pc
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom