Nyakati za mwisho ziko karibu sana maana karibu tutahalalisha ngono hadharani. Je lengo hasa la kufanya hayo ni nini? promotion?? Jamani hata hiyo picha kuwekwa hapa naomba moderator waondoe maana asume watoto wanaona je wanajifunza nini? si wataanza kuchunguliana? unless ni pasword protected au verification of the age. Hivyo moderator be careful hii si kuelimisha bali ni kuharibu. Hii si ZE UTAMU!! I am so sorry kama nimewaharbia moooooood!!:embarassed2:
Mama zao ni kama hawakuzaa. Bora warudi Labour wakatafute watoto wengine watakaowapa heshima duniani. Hawa hawawezi kukidhi haja yao ya kuheshimiwa kama wazazi.