I want to know about this guys!!

Kwa muono wangu ni kwamba hali ya maisha nayo ndio source kubwa inayopelekea hali kama hiyo. Unakuta katika familia kuna watoto wapatao 8 then anayetegemewa ni baba hata hivyo baba mwenyewe hana kazi ya kudumu bali anategemea vibarua. Je kwa ukweli huu kuna uwezekano wa kupunguza hili tatizo?
 

huwa unamapwenti wewe,,,,,,,,,,

sijui nikuombe penzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…