Issa hayola
Member
- Feb 7, 2014
- 21
- 2
Eeeeh! Wengi ukimaanisha wangapi?
Yani research yako ulifanya kutumia wasichana wangapi ukagundua kuwa wengi hujiingiza wakiwa na umri mdogo?
Na hiyo ya wavulana pia sample yako ilikua wavulana wangapi?
Umri mdogo ni miaka mingapi?
Sidhani kama mtu anahitaji kufanya utafiti wa kitaalam kung'amua huu ukweli. Hii kitu inaonekana dhahiri. Watoto wa kike wanaanza kujihusisha na ngono katika umri mdogo sana.

wanajihusisha katika umri mdogo na kina nani kama partners wao c wababa watu wazima , swali liwe kwa nini wababa wanapenda kuwaanzisha mapenzi mabinti wadogo
Umri mdogo mnamaanisha miaka mingapi?
Habari zenu, jamani nahitaji kujua juu ya suala hili. Hivi ni kwani wasichana wengi huwa wanajiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi wakiwa na umri mdogo? Na je, ni kwanini baadhi ya wavulana pia hujiingiza katika mahusiano na wakina mama waliowazidi umri?
Angalau miaka 11 nakuendelea...
Habari zenu, jamani nahitaji kujua juu ya suala hili. Hivi ni kwani wasichana wengi huwa wanajiingiza ktk mahusiano ya kimapenzi wakiwa na umri mdogo? Na je, ni kwanini baadhi ya wavulana pia hujiingiza katika mahusiano na wakina mama waliowazidi umri?
Miaka kumi na moja huyo ata kubalehe haja balehe anaanzaje kujihusisha na mapenzi katika umri huo! Halafu hawa wasichana mnaosema umri mdogo nani anaowaingiza katika mapenzi kama si mibazaz ya mji!
Wakishua wanaweza salimika na haya mabazazi lakini wa huku uswazi ukimpa elfu tano, chipsi kuku anaona dili.
Kuna binti namfahamu alibalehe akiwa na miaka 9!