handsome 00
Member
- Dec 16, 2013
- 97
- 19
Playing....nice beat
mnaotupia mistari humu ndani mi nawakubali kinoma mana naburudika muno coz nipo on the bed na bonge la cm kitu samsung galaxy note 10.1 so nikubofya tu full burdan ebu tupieni mistari ya kutoooooooosha wengine tuongaze miaka ya kusavive
Mlaleo,Mbona nimeshajiunga JF kitambo....
Sikia Aunty kemmy ulinivunja sana nguvu na pale uliponiambia unadate na mwingine roho iliniuma sana nikabahatika kukutana na mrembo mpya na nishaanza kudate nae pole sana.... uamuzi niliochukua kutaka kudate nawe ulikuwa ni mzito sana na sikitegemea majibu yako ndio maana hadi sasa umenipa kidonda rohoni... ila usivunjike moyo nitakuunganisha na NasDaz kama unamkumbuka tulikuwa nae school ile alikuwa anapenda mademu wenye watu wao tu masigle alikuwa hawataki