I want him badly

Ndio ujue madhara ya sitaki nataka,ww mtu mzma unakua na tabia km ya watoto wa sekondari au chuo,ujifunze kua muwazi ,hata ukimwambia ulikua unamtania anaweza asikuamin.
 
At least hujasema kuwa umetumwa na mwenzio.....au rafiki yako
 
Wanaume wengine hatujui kusumbuana na wanawake, mimi nakutaka mara moja, ukiniambia una mtu, au ukakataa ndio imetoka tena. I dont find any pleasure kubadilisha no ya mwanamke iwe yes.

Pole sana, dunia hii wanawake walivyo wengi, nani anataka mambo ya Ufoo na Mushi
 
kwamimi ninachoamini mtu anakupenda mara moja tu..hasa kwa wanaume wastarabu wanaojua thamani ya mtu na uchungu wa mapenzi ukiwaambia unamtu lazima aheshimu mawazo yako.sasa ikitokea ukarudi tena kwake lazima ajiulize umeona nin kipya kwake??imekuwaje hata urudi kwake??? je akitokea mtu mwenye pesa/maisha mazuri zaidi yake si utamwacha na kwenda kwa huyo mwengine??? hapo haijalishi ni jinsi gani utakavyo jitetea still bado atakuwa na mashaka...
hivyo dada hapo naona kama UTARAMBA GARASA..bora uchape rapa uaminifu hautakuwepo kwa huyo jamaa..
 
kisha kupiga buyu huyo , ukimfata fata atakufanya ndondocha , wewe ulikuwa humpendi leo hii umeamua kumpenda , kuna nini hapo. achana naye hafai .
 
Huyo ukimfuata sasa anakupiga chini kwa kudhani umeachika sasa ndo unamfuata fuata. Au anaweza dhani unataka kumchomekea mimba au maginjwa yetu yalee ya UMEME. Pole sana ila jaribu tena!
 
Baeleze Husninyo! Njemba inamtaka halafu anajifanya kudengua na kujibaraguza kujionyesha yuko matawi ya juu, "nina mtu wangu" kumbe ni uongo mtupu!!! Chakarika mtafute mwambie una mazungumzo naye ya maana mtoe dinner kwanza umuombe samahani kwa kutokuwa mkweli kisha umueleze kwamba unamzimikia. Uombe Mungu wako awe hajapata mrembo mwingine hivyo naye kukugeuzia kibao, "nina mtu wangu" kila la heri halafu usisahau kurudi hapa kutoa updates.

pole sana, huu mtindo wenu wa kutingisha kibiriti itawacost sana. mwambie kuwa ulimdanganya.
 
Last edited by a moderator:
Labda alitaka abembelezwe,akakuta jamaa alifocus kwenye jibu zaidi
Heart mwanaume mstaarabu ukishamwambia una bwana anaheshimu maamuzi yako,ukitaka akubebembeleze,sema hauna bwana/boyfriend ila asubiri kwa sasa hauko tayari,hapo ndo tunapombembeleza hadi magoti tunapiga,hata ukiambiwa saa nane za usiku niletee juisi tunapeleka ili kubembeleza!Lakini nina bwana,nani akubembeleze,labda kama humjui Ufosaro!
 
Last edited by a moderator:

If you don't love me now, don't love me later..
 
ulimwambia unaye wakati huna ili iweje? haya kamwambie ulimdanganya
 
kuwa na amani, ndio mm hapa! namba yako ninayo nitakupigia! ila next tyme usirudie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…