ningekuwa mimi kwa simu mpya kwa budget hio ningenunua j5, warranty miaka 2, camera nzuri, kioo cha super amoled, inakaa sana na charge, na pia ina touchwiz mpya ina themes na ni nyepesi.
hio y6 pia sio mbaya ni almost kama j5 mambo mengi lakini naona kama inamiss 4g zetu na pia sijajua tigo watakupa warranty ipi.
na pia tigo wamekuambia wataibundle na nini? vifurushi/internet nk