I Wanna Be The Only One...!!!!

Da umenikumbusha mbali sana Bebe winas da na madada wa Eternal long time sana!! 1997 hyo nakata desas natokomeza zero!!
 
Da umenikumbusha mbali sana Bebe winas da na madada wa Eternal long time sana!! 1997 hyo nakata desas natokomeza zero!!

Hahaha, yeah mkuu King Kong III naona ume-reminisce longtime back in days when msuli was msuli kweli!
 
Last edited by a moderator:
umenikumbusha mbali sana. enzi hizo lugha gongana nasubiria ifike chorus nami naaimba kwa maneno ya lugha yetu....raha sana.
 
umenikumbusha mbali sana. enzi hizo lugha gongana nasubiria ifike chorus nami naaimba kwa maneno ya lugha yetu....raha sana.

Haahaha,izo kweli zipo mkuu LILENDI
 
Last edited by a moderator:
Enjoy the moment wakati una reminisce back in days friends, kama kawaida soul food!
huo msemo wako wa "IN VINO VERITAS" Umenikumbusha many days back that I used to learn LATIN (KILATINI) Kama sijakosea, una maana ya " IN WINE WE TRUST"...... Nipo vizur sana huko kama na wewe ni mzima naomba utafute maana ya "E PLURIBUS UNUM" nice tym
 
Nice one asante kwa kunipunguzia mawazo donlucchese
 

Ndio mkuu, si ni out of many,one? Huu unafanana na msemo ambao upo kwenye b bendera ya jamaica mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…