2008 I voted for Obama .Ingekuws 2 more years ningejaribu kumpigia.4 more years hapana[/QUOTE
MAMA RUDI BONGO TUJENGE NCHI PAMOJA!!
KWENYE NCHI ZA WENYEWE UNAFANYA NINI? NJOO TUSAIDIANE KUKIONDOA CHAMA CHA MABWEPANDE. HAYO YA ROMNEY SIDHANI KAMA YANATUHUSU SANA!!
well said mkuu hayatuhusu na hayana faida kwetu!
Huyu natalia anawasumbua akili zenu kumjadili, hatuna uhakika iwapo ana uraia wa marekani, waweza kuta ni shabiki tu kumbe mkaazi wa kiembe samaki zanzibar au namanyere nkasi. Aweke picha tupate authentic truth ya uraia wake.
2008 I voted for Obama .Ingekuws 2 more years ningejaribu kumpigia.4 more years hapana
What's tantalizing me is that Republicans keep saying Gov doesn't create jobs..
Then why you blame obama if obama didn't..
Natalia, nakuonea huruma. Maana nahisi uko bendera fuata upepo. Absolutely no idea whatsoever the United States is going through.
But Obama will win. Not because he is black (mixed) no.. Because he dared challenges and Congress the Republicans have been always make this statement make him as one term president. And they never worked with him.
Mungu hamuachi mjaa wake
Well..I conqur with you, it seems Natalia anafuata upepo kweli as she has mentioned she is married I presume that she is married to a white guy and there is a significant number of racist mzungus in US working hard to return the white guy in the white house her husband been one!. The gulf war and the consequent world economic crisis which has crushed African economies among others were the results of the rep. policies which Romney fighting for! It better to have a personal analysis of the situation rather than been overwhelmed and intoxicated with someones perception.
It's not about the color of the skin it's about character,experience and economy .i voted for Obama 2008 . Nyerere alisema Kama unapenda mtu kisa handsome kanywe nae beer.America have changed a lot angalia idadi ya watu wanauridi bongo.yaani it's sad and bad
My parents are conservatives,and I'm a conservative.Fiscal responsibility is the reason I voted
Kumbe na Marekani kuna wapiga kura wajinga namna hii? Yaani unampigia kura mtu unayempenda badala ya mtu mwenye sera unazoona zinafaa kwa nchi yako? So you vote for a person, a choice between people and not policies? Si ajabu hata mwaka 2005 ulikuwa miongoni mwa wanawake waliomchagua m.k.w.e.r.e kwa kigezo cha u-handsome wakidhani wanachagua mume kumbe ni Rais wa nchi! Wewe hata usihangaike kwenda Ohio, acha kuwaharibia wenzio nchi yao huku ukijua kikinuka huko unakimbilia huku. Afterall, unatuabisha waafrika wenzio kwa kutumia vigezo dhaifu katika kuchagua Rais wa nchi!I have a right to vote for a person I like.its democracy Nyerere fought for that
Kumbe na Marekani kuna wapiga kura wajinga namna hii? Yaani unampigia kura mtu unayempenda badala ya mtu mwenye sera unazoona zinafaa kwa nchi yako? So you vote for a person, a choice between people and not policies? Si ajabu hata mwaka 2005 ulikuwa miongoni mwa wanawake waliomchagua m.k.w.e.r.e kwa kigezo cha u-handsome wakidhani wanachagua mume kumbe ni Rais wa nchi! Wewe hata usihangaike kwenda Ohio, acha kuwaharibia wenzio nchi yao huku ukijua kikinuka huko unakimbilia huku. Afterall, unatuabisha waafrika wenzio kwa kutumia vigezo dhaifu katika kuchagua Rais wa nchi!
Kumbe na Marekani kuna wapiga kura wajinga namna hii? Yaani unampigia kura mtu unayempenda badala ya mtu mwenye sera unazoona zinafaa kwa nchi yako? So you vote for a person, a choice between people and not policies? Si ajabu hata mwaka 2005 ulikuwa miongoni mwa wanawake waliomchagua m.k.w.e.r.e kwa kigezo cha u-handsome wakidhani wanachagua mume kumbe ni Rais wa nchi! Wewe hata usihangaike kwenda Ohio, acha kuwaharibia wenzio nchi yao huku ukijua kikinuka huko unakimbilia huku. Afterall, unatuabisha waafrika wenzio kwa kutumia vigezo dhaifu katika kuchagua Rais wa nchi!
i assume you're an african...could you tell me what ideas romney has about africa and the developing world?
Kwanza hueleweki sijui ni lugha gani unaiweza?! Pili, hivi unadhani Obama ni Mkenya, au ni Rais wa Kenya? Yaani unawaza Obama ataifanyia nini Afrika as if Africa ni koloni la Marekani? Kwani hakuna marais Afrika? Kibaki anafanya nini pale Ikulu kama unataka Obama awaze namna ya kuwasaidia Kenya? BTW: Kuna urafiki gani kati ya Tajiri na Maskini? Unadhani hivyo vidola 100m/= vya Bush aligawa kama sadaka? Kwa utajiri upi alionao? Umesahau Bush alivyokuwa anajikomba Tz akaja kidogo akate wiki nzima Tz? Unadhani alikuja kuchekacheka kama M.k.w.e.r.e anavyoenda kuchekacheka na kupandishwa matoroli ya farasi ughaibuni? Wazungu wako serious, they fool us with $100m/= they take all our minerals, gas, land and other resources. Halafu kuna stupid Africans kama wewe wanashangilia. Shame on you!Obama what have he done In Africa .Bush republican gave 100 million dollar for AIDS Kama hazikufika kwa wananchi sorry .where is ghadaffi. Ghadafi was once Chairman of African countries .Obama hata hapo Kenya hajaenda .wewe immgrant wangapi wana afford car insurance Leo hii Obama care no lazima uwe na health insurance AMA IRS na Wewe.obama ni sawa na waafrica Wengi wansisahau nchi zao wakiwa juu.koffi Annan Amefanya nini africa.mama migiro amekusaidia nini.Tanzania ni nchi ya kimaskini tunategemea uchumi wa USA ku survive .wazazi wangu wanauwezo siwatumii pesa ,ila Nina mama zangu wadogo marafiki NA majirani ambao nikienda western union hiyo exchange rate inatisha.
Baba Angu mzungu mama Angu mwaafrica .mume wangu muzungu watoto wangu interracial.Obama Hana hata college transcpript .well Romney is the next president yaani I can't wait .Obama its time to pack and look for a pundit jobKwanza hueleweki sijui ni lugha gani unaiweza?! Pili, hivi unadhani Obama ni Mkenya, au ni Rais wa Kenya? Yaani unawaza Obama ataifanyia nini Afrika as if Africa ni koloni la Marekani? Kwani hakuna marais Afrika? Kibaki anafanya nini pale Ikulu kama unataka Obama awaze namna ya kuwasaidia Kenya? BTW: Kuna urafiki gani kati ya Tajiri na Maskini? Unadhani hivyo vidola 100m/= vya Bush aligawa kama sadaka? Kwa utajiri upi alionao? Umesahau Bush alivyokuwa anajikomba Tz akaja kidogo akate wiki nzima Tz? Unadhani alikuja kuchekacheka kama M.k.w.e.r.e anavyoenda kuchekacheka na kupandishwa matoroli ya farasi ughaibuni? Wazungu wako serious, they fool us with $100m/= they take all our minerals, gas, land and other resources. Halafu kuna stupid Africans kama wewe wanashangilia. Shame on you!
Kwa hiyo wewe unayeandika namna hii ndio una nini, University Transcript ama? Kama unayo basi itakuwa ya OUT. Mwenzio alipikwa pale Harvard Law School, wee kazana na misifa yako ya Kihaya aliyokurithisha Mama yako na endelea kupumbazwa na huyo mumeo kaburu by the time akili inakurudia utakuta Commander-In-Chief Barack Obama akipanda Air Force One kutoka Chicago kurudi White House kula kiapo kingine cha kuongoza nchi hadi 2016!Baba Angu mzungu mama Angu mwaafrica .mume wangu muzungu watoto wangu interracial.Obama Hana hata college transcpript .well Romney is the next president yaani I can't wait .Obama its time to pack and look for a pundit job
Baba Angu mzungu mama Angu mwaafrica .mume wangu muzungu watoto wangu interracial.Obama Hana hata college transcpript .well Romney is the next president yaani I can't wait .Obama its time to pack and look for a pundit job
Kwa hiyo wewe unayeandika namna hii ndio una nini, University Transcript ama? Kama unayo basi itakuwa ya OUT. Mwenzio alipikwa pale Harvard Law School, wee kazana na misifa yako ya Kihaya aliyokurithisha Mama yako na endelea kupumbazwa na huyo mumeo kaburu by the time akili inakurudia utakuta Commander-In-Chief Barack Obama akipanda Air Force One kutoka Chicago kurudi White House kula kiapo kingine cha kuongoza nchi hadi 2016![/
Aliyekuambia Mimi Mujaya nani .unaprofile watu tu,kwani wahaya sio watu .
Un employment check is waiting for youKwa hiyo wewe unayeandika namna hii ndio una nini, University Transcript ama? Kama unayo basi itakuwa ya OUT. Mwenzio alipikwa pale Harvard Law School, wee kazana na misifa yako ya Kihaya aliyokurithisha Mama yako na endelea kupumbazwa na huyo mumeo kaburu by the time akili inakurudia utakuta Commander-In-Chief Barack Obama akipanda Air Force One kutoka Chicago kurudi White House kula kiapo kingine cha kuongoza nchi hadi 2016!