I trust Moïse Katumbi to become the leader of my country DRC

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
I trust If moïse katumbi become a leader of my country DRC, Kongo will become one of the Best developed countries in africa and our economie will grow up saana. Ndani ya uyu jamaa Kuna power fulani ambayo sijawai kuhiona kwa wanasiasa wakongo.

Bila uyu nafikiri mpaka sasa ivi kabila angelikuwa bado ni raisi wa kongo

One Day nilifatilia his mouvement katumbiste when he was gavana wa katanga. Alifanya mambo mengi

Na pili neno alilosema mobutu litimie kuwa kongo kupata Amani labda kuwe na White leader na uyu katumbi ni mzungu kabisa
Mwenye asili ya afrika.

Naombeni kabisa help us kwa maombi ili uyu bwana achukuwe country ili huyu bwana masafari atutokee

And us too tuna tamani kuwa Kama inch zingine tuwe na Amani isiwe kila siku sisi ndo wakukimbia kimbia tu na wakati inch tunayo
Moise katumbi will finish all probleme of my country he has power of fight and he is so intelligent.

And good man

Screenshot_20211106_145452_com.whatsapp.jpg
 
Can you explain little how he will finish a long journey problemee of Congolese especially internal conflict and extreme poverty...
 
Mobutu aliweka amani sababu alikua kuishi na wacomgo, alijua wanapenda anasa na akawa anawapiga pesa ma Gavana na wasaidizi wake na pia alijua wanapenda umbea so akahakikisha wasaidizi wake hawapendani wanamletea ubuyu wote nchi hiyo ili ipate amani ni lazima iongozwe hivo tena
 
Mobutu aliweka amani sababu alikua kuishi na wacomgo,alijua wanapenda anasa na akawa anawapiga pesa ma Gavana na wasaidizi wake na pia alijua wanapenda umbea so akahakikisha wasaidizi wake hawapendani wanamletea ubuyu wote nchi hiyo ili ipate amani ni lazima iongozwe hivo tena
Kuna vikundi vidogo vidogo ambavyo vinajitokeza kongo ili kutowesha Amani ya kongo ili vikundi ivi vitoke inabidi kongo wapate kiongozi jasiri na anaye jua siri, kama Moise Katumbi

Kuna wanasiasa wengi ambao walishindwa kumtoa kabila madarakani ila alivyo sema katumbi tu kabila alitoka
Kwa iyo moise ana nguvu fulani ivi ndani yake

Na Nina amini akiwa raisi you will see how Congo will be
 
Aiseee haya sawa wewe Kama sio Moise Katumbi mwenyewe umekuja kujipa maujiko basi utakua chawa wake!
Anyway na iwe hivyo Kama huyo mutoto wa Lubumbashi Kama ana upeo huo na abaongoze batoto ba congo!
 
And us too tuna tamani kuwa Kama inch zingine tuwe na Amani isiwe kila siku sisi ndo wakukimbia kimbia tu na wakati inch tunayo
Mkitaka muwe na amani subirini Rwanda iwe kiongozi mwingine
 
And us too tuna tamani kuwa Kama inch zingine tuwe na Amani isiwe kila siku sisi ndo wakukimbia kimbia tu na wakati inch tunayo
Mkitaka muwe na amani subirini Rwanda iwe kiongozi mwingine
 
Back
Top Bottom