Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
Siku utakapota ukimwi usiache kututaarifu mkuu....Mazikoni sio lazima sana kwani ndo utakua hu log in tena kwenye ukumbi...R.I.P mkuu kwa sababu you are a dead walking man!
Na ukiukwaa usisite kututaarifu..
unaweza kujikuta unasubiri milele.........
Ukinasa usiogope kututaarifu pia.Wasalaam wanajamvi....it has been a while ila naamin sote tu wazima...
Baada ya kuamua kua-single boy maisha yalienda poa sana..na garama za maisha zikapungua....
Kihoja ni kua baada ya kukaa mda mrefu bila kufanya tendo nkaona sio mbaya nkatafta pakujishikiza (pa kupata huduma ile)....na kwa kwel nilifanikiwa nkawa nafanya yang...wakat nkiwa naendelea na kamchezo kuna mwngne akatokea nkamaliza.....
Mpaka naandika apa niko 3 steps ahead na kuna ambae kajichanganya ck 2 iz napumzika........
Staki kuamin narudi kwenye tabia za ajab bt i can smel it..'a play boy' z soon to arrive...
Thubutuuuu..ngoma ya siku hizi inapenya hata uvae condom..
Thubutuuuu..ngoma ya siku hizi inapenya hata uvae condom..