Sawa na Tanzania.Huwezi kuifananisha Tanzania na Kenya kwa corruption,
WeKenyan wanapenda sana Rushwa
Kenya inanuka kwa rushwa
Ukiona nchi wachina na wahindi wanaipenda sana ujue kuna mianya mingi ya rushwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kulia basiYaani ukiangalia nyuzi za huyu jamaa utagundua ni mjinga wa aina gani
Sina ujinga kiwango hichoacha kulia basi
kwa akili yako ya ki-ccm unataka kulinganisha HEAVY weight na feather weight siyo? hivi mnakwama wapi?Na kwa nini iwe Kenya na siyo Uganda, Zambia, Rwanda, Kongo, Msumbiji au Malawi?
punguza jazbaSina ujinga kiwango hicho
duh!Nimebahatika kuzunguka hii nchi mikoa kadhaa, ukipita vijijini unakutana na makazi duni kabisa, kumechakaa, watu wamepauka vibaya. Pengine hata network ya simu hakuna, redio haishiki hata moja wakati tuna vituo vya redio zaidi ya 80, kuna sehemu usafiri ni mshike mshike, kuona tu barabara ya lami unalazmika kukodi pikipiki elfu 30, bado usafiri unaotumika ni pijo 504 za miaka ya 70, nimeshuhudia sehemu nyingi tu mikoa tofauti ukiwa na safari ya halmashauri basi uandae na pesa ya gesti maana gari ni moja tu na kurudi ni kesho yake.
Nimetizama taarifa ya habari ya ITV leo kuna watoto wanne wa familia moja wamekufa njaa huko Serengeti, Nafikiri Serikali inaangalia maisha ya Mtanzania kwa kuzingatia watu wa Dar pekee ukweli mikoani umasikini ni mkubwa mno.
Utajiri wa Tanzania uko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
FACT:Tanzania is actually more corrupt than Kenya
duh!
pole bro.
mukiwa na bidii na ukakamavu, mutafikia pahali Kenya iko.
hata Kenya pia haikujengwa kwa siku moja.
To be honest nchi yetu ni very corrupt sana. Tatizo moja tu, Serikali siyo wazi haisemi na pia hakuna free media kama Kenya.
Kiukweli Wakenya wanajitahidi sana kupinga rushwa na ufisadi, sisi Watanzania hatuwezi kufikia Kenya katika free media na kupinga ufisadi.
Mfano toka ianzishwe mahakama ya mafisadi hakuna hata mmoja alikamatwa, while Kenya with no court deal with that offense, wanakatamata mafisadi kama akina Sonko.
Watanzania wengi ni praise team tu hakuna jipya. Finally nawapongeza Wakenya for their freedom of media na free democracy.
Tanzania bado tupo stone age with some socialist remarks lakini tuna resources za kutosha ,na human resource iko vizuri.
Tukiamua tuwe na completely mixed economy our GDP will grow to 150 Billion US$ in three years to come.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana umesema "I THINK" kwenye heading. Hii inatuonesha how your pumpkin (the one you call head) is rotten
Sent using Jamii Forums mobile app