I think I LOVE YOU!

Great!
 
Kweli kabisa kulikuwa hakuna watu wasiojulikana, tulikuwa hatuna jiwe pale magogoni. Humu kulikuwa hakuna matusi heshima mbele kwa mbele ni hoja za nguvu, kubadilishana mawazo, kutaniana etc.

Ahhh unachezea Mentor ??!

Viol asante kwakunikumbusha.
Day, those days. Maisha yalikuwa so simple ☺
 
Kweli kabisa kulikuwa hakuna watu wasiojulikana, tulikuwa hatuna jiwe pale magogoni. Humu kulikuwa hakuna matusi heshima mbele kwa mbele ni hoja za nguvu, kubadilishana mawazo, kutaniana etc.
Halafu mtu asipoonekana kwa week jamvini tunamtafutana pm kujuliana hali
 
Kweli kabisa kulikuwa hakuna watu wasiojulikana, tulikuwa hatuna jiwe pale magogoni. Humu kulikuwa hakuna matusi heshima mbele kwa mbele ni hoja za nguvu, kubadilishana mawazo, kutaniana etc.

Ilikuwa family moja kuuubwa ilisheheni ujuvi, upendo ....
Jiwe ndio limeleta hayo yoote
 
Kwanini ugumu wa sasa hivi nini,mi naona wakati ule ndo yalikuwa magumu,nilikutongoza wee-wee ukanitolea out
Heheheh...kwahiyo sasa hivi sitokutolea nje eti
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…