I think have been single long enough....

I think have been single long enough....

nimekuwa muoga kuumizwa kimapenz na kuamini mtu

Woga ulionao ndio adui yako namba moja...
Siku zote hakuna jambo zuri lisilo ambatana na risks...
Waungwana husema, kama unataka kuzaa usifiche wako uchi...
Hivyo hata kwenye mapenzi ipo hivyo, lazima ifike mahali ujiamini na kutafuta mtu...
 
 
Last edited by a moderator:
MSWALIENI MTUME!!!!!!!!!!!!! Mambo gani mgeni mnamtoa race kama sio relay!!!!!!!!!!!!???????? Hili jamvi nalo mda mwengine watu mnakuwa kama sio wasomi!!!!!!!!!

Mwaya mleta utapata tu mtu! Ill pray for you (My Buddha side never comes out easily but you got me today! I dig your sufferings!

Na nyie waosha vinywa mna mjudge na kumcondmn mleta mada mna usafi gani wa roho?????????

Actually mimi nakuunga mkono kuliko kuishi single, bored, ----ed up with life, lonely its better you did what you ! SOMETIMES WE ARE ALL VICTIMS OF CIRCUMSTANCES!!!!!!!! Ungebakia single ungekuwa miserable na kugegedwa pia ni miserable! Vanity upon vanity is vanity bila kusahau EITHER WAY LIFE FU.CKS US!!!!!!!!!!!! You did whata you had to do depending on what your fate offered you!

sure :disapointed:
 
hiii wana JF nataka ushauri nimekuwa single for almst 3 yrs bila kuwa na mahusiano serious sasa mda unazd kwenda umri nao unaenda.i meet gud guys and gentlemens ila nimekuwa muoga kuumizwa kimapenz na kuamini mtu soo most of the tym na end up kuwakataa bt am tired of being alone at the same tym naogopa kupend............wats ur view.....

Dont loose hope girl, somewhere in this world there is someone who wish you could love him, and may be he is scared too, just give your heart another chance to love and involve God in your choice everything will be ok
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom