KAma bado ujawa mwanachama wa CDM,nashauri usichukue kadi,bali zama ndani ya CCM,ukiwa na nia na dhamira moja Tu,ya KUBOMOA CCM,UKIWA NDANI YA CCM.na ktk chaguzi pigia debe CDM ukianza na familia yako,ndugu,jirani,washirika wako wa biashara/ajira.na watu wa ibada yako.