I smell something fishy btn CCM MPs and their government!

mcfm40

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,452
3,150
Ukisikiliza kwa makini hoja za baadhi ya wabunge wa ccm utagundua kwamba kuna grievances na masononeko moyoni. Kuna hali fulani ya kutoikubali serikali ya Magufuli. Wanajitahidi kuficha hizo grievances au sonono lakini wanashindwa wanajikuta wanazibwaga hsdharani.

Mosi. Kamati ya budget inayoongozwa na Hawa Ghasia imeiponda serikali na waziri wake kwa kutochukua wazo hata moja kutoka kwenye kamati. Hili sio jambo la kawaida kwani malalamiko ya namna hii yanatoka zaidi upinzani.

Pili. Mchango wa Aeshy Hilal, Kangi Lugola na wengineo wakati wanachangia bajeti, wamesikika wakimwambia waziri wa fedha kwamba hajui uchungu wa kuwa mbunge wa jimbo ndio maana anataka kuweka kodi kwenye kiinua
mgongo chao. Hii imekuwa kama kebehi kwa waziri Mpango sio kwa Mpango tu bali kwa wale wateule wa rais km Tulia na wengineo.

Inaonekana kama wabunge waccm hawakufurahishwa na Magufuli kwenda kutafuta waziri wa fedha nje ya wabunge wakuchaguliwa wa ccm. Imeonekana km rais hawaamini wabunge wa chama chake. Sasa hasira zote wameamua kumwangushia waziri Mpango.

Kina Mpango wanaonekana kama outsiders. Hivyo wanachapwa kwelikweli! Mpango anashambuliwa mmpaka amekuwa kama yatima.

Wabunge wengi wa ccm kwa nje wanaonekana wapo na serikali yao lakini mioyoni mwao wanatamani ishindwe. Inaonekana utumbuaji umewagusa wengi marafiki au ndugu zao labda ndio pia chanzo cha hizi grievances za chini chini zinazojitokeza unconsciously kwenye kauli zao!

Sikiliza kwa makini video clips za kina Bashe Kangi Lugola, Aeshi Hilaly Hawa Ghasis na wengineo wakichangia kwenye bajeti hii, utagundua nilisemalo. Aeshi Hilaly kwa mfano anamuuliza Mpango kama serikali ina chuki binafsi na CAG!!! There is something fishy indeed!:(

Cha ajabu sasa, wakimaliza kumponda Mpango wanaunga hoja mkono mia kwa mi:);)
 
Ukisikiliza kwa makini hoja za baadhi ya wabunge wa ccm utagundua kwamba kuna grievances na masononeko moyoni. Kuna hali fulani ya kutoikubali serikali ya Magufuli. Wanajitahidi kuficha hizo grievances au sonono lakini wanashindwa wanajikuta wanazibwaga hsdharani.

Mosi. Kamati ya budget inayoongozwa na Hawa Ghasia imeiponda serikali na waziri wake kwa kutochukua wazo hata moja kutoka kwenye kamati.

Pili. Mchango wa Aeshy Hilal, Kangi Lugola na wengineo wakati wanachangia bajeti, wamesikika wakimwambia waziri wa fedha kwamba hajui uchungu wa kuwa mbunge wa jimbo ndio maana anataka kuweka kodi kwenye kiinua
mgongo chao. Hii imekuwa kama kebehi kwa waziri Mpango sio kwa Mpango tu bali kwa wale wateule wa rais km Tulia na wengineo.

Inaonekana kama wabunge waccm hawakufurahishwa na Magufuli kwenda kutafuta waziri wa fedha nje ya wabunge wakuchaguliwa wa ccm. Imeonekana km rais hawaamini wabunge wa chama chake. Sasa hasira zote wameamua kumwangushia waziri Mpango.

Kina mpango wanaonekana kama outsiders. Hivyo wanachapwa kwelikweli!

Wabunge wengi wa ccm kwa nje wanaonekana wapo na serikali yao lakini mioyoni mwao wanatamani ishindwe. Inaonekana utumbuaji umewagusa wengi marafiki au ndugu zao labda ndio pia chanzo cha hizi grievances za chini chini zinazojitokeza unconsciously kwenye kauli zao!

Sikiliza kwa makini video clips za kina Bashe Kangi Lugola, Aeshi Hilaly Hawa Ghasis na wengineo wakichangia kwenye bajeti hii, utagundua nilisemalo. Aeshi Hilaly kwa mfano anamuuliza Mpango kama serikali ina chuki binafsi na CAG!!! There is something fishy indeed!:(

Well said Mkuu.
Shida ni kwamba wabunge wengi walishazoea kufanya kazi kwa mazoea. Ndio maana kuanzia mchakato mzima watu wanamwaga pesa wakijua wakishaukwaa ubunge basi watapiga sana deal. Sasa huyu Bwana Mkubwa kaja na mtindo mpya wa uongozi, hivyo hawa wabunge kucope siyo kitu rahisi kwani hawakutegemea kuyaona yanayotokea sasa.
Mimi naomba Bwana Mkubwa aendelee kukaza kamba ili wanyooke.
 
Huu wimbo wa "wataisoma number CCM mbele kwa mbele" kama utaendelea kuibwa hadi uchaguz wa 2020 naic ni weng wataona haibu kuuimba maana umewagusa directly.
 
Kweli kabisa watu wanatokwa mapovu mpaka unajiuliza ni walewale ccm tunaowajua au? Ama kweli wstakaomwangusha Magu ni ccm wenyewe. Wala asihangaike kupambana na Ukawa. Adui analala naye anaamka naye!
 
Hatunywi sumu, hatujinyongi...sisiem mbele kwa mbele
Namba inaso meka nyuma na mbele
 
Back
Top Bottom