Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Mkuu, mimi ni mwanaume LAKN 'POST YAKO IMENITOA MACHOZI'
MBOWE AMEACHA ALAMA YA USHUJAA WA AJABU NDANI YANGU. NITAMHESHIMU MAISHA YANGU YOTE.
MUNGU WA MBINGU AMLINDE SALAMA MAANA MAADUI WAKE HAWANA FURAHA KAMWE
Mimi mtoto wa maskini nilisoma hadi pale nilipoweza kufikia chini ya Utawala wa CCM, bila kubaguliwa kwa jinsi yoyote. Wengi wa Watanzania wana madaraka makubwa CCM na Serikalini bila kujali itikadi za vyama, dini, kabila na tofauti zozote zile. Kama kuna makosa yaliyofanywa na yanaoyofanywa sasa ni ya kiutendaji na ya mtu mmoja mmoja na si ya kimfumo. Ila kwa taarifa zinazotolewa humu jamvini, mh, Chama kinachongozwa na aliyesifiwa na mtoa mada, kina harufu ya kila aina ya ubaguzi! Itakuwaje kikiingia madarakani kuongoza nchi hii!
TAFAKARI CHUKUA HATUA
I salute you Mbowe, nasema I salute you Mbowe again. You a really comander if not a comandor. wewe ni camander zaidi ya wenye taruma ya kuwa makamander. Mbowe nimekukubali, na daima nitakuwa nyuma yako. Sikutegemea mbowe ungeendelea kusonga mbele, mbele ya masahibu na hila za kuua upinzani. Slaa aliye kuwa alama ya ukombozi, mshauri wako mkuu, mtu uliyemheshimu na kuweka imani yako kwake, leo kayafanya haya. Nilidhani ungeyumba lakini ahsante Mungu wa Mbinguni hukuyumba. Mbowe wewe ni kweli ni kamander. Ufahamu tumaini la wanyonge limebaki kwako. Nipo nyuma yako kokote uendako. VIVA Mbowe! may God of heaven bless you with safe and long life!
Muamini huyo huyo Mbowe ila punguza mihemko.
Ukitoa madawa ya kulevya. Ushabiki na uvivu wa kufikiri ni janga la taifa kwa vijana. Sihitaji kujua wewe ndg umetumia akili kiasi kuandika haya, huenda nikawa nakuonea kwamaana sijui hata kichwani kwako kama kuna ubongo!
Mfumo wa kutoa haki mahakamani unaipendelea Serikali maana rais ndo anateua majaji wote. Haiwezekani waalimu wakaishtaki Serikali kwa kudhulumiwa malipo ya stahili zao, wakatendewa haki.
rais ndo anateuwa mkurugenzi wa mashtaka, wakuu wa TAKUKURU kama apendavyo yeye,je huu sio mfumo mbaya?
Haiwezekani uchaguzi ukawa wa haki wakati mwenyekiti wa ccm ndo (Rais) anateuwa watendaji wa Tume ya uchaguzi, huu sio mfumo mbaya katika vyama vingi?
Fedha ya nchi inaibiwa Benki kuu bila vyombo vya dola kujua na kuzuia wizi huo. Je mfumo wetu wa ulinzi wa mali za umma uko vizuri? Fedha zinaweza kutolewa benki kwa mabilioni in CASH kweli hili linawezekana? Hii ni tanzania tu
Inawezekana vipi GAVANA wetu aende nje ya nchi apate matatizo ya kiafya afariki na kuzikwa huko huko nje ya nchi bila kushuhudia mazishi yake na yeyote kati ya viongozi, kweli mfumo wa kuenzi watumishi wa umma uko sawa? Tukisema tuna matatizo ya kimfumo nani anabisha?
Matatizo ni mengi chungu mzima, kuanzia ugawaji wa madawa katika mahospitali, ugawaji wa maji taka na safi, vifaa vya elimu kila kitu ni hovyo sana. MABADILIKO NI MUHIMU NDUGU YANGU, AMKA!!
Tena mbaya saaana, mfano mtu anashabika ccm kwa mika 50 huku akiishi kwenye nyumba ya nyasi, ndugu na familia wakifa kila kukicha kwa kukosa huduma bora za afya, gharama za maisha n.k...ushabikii mbayaaa saaana.
Ningekuamini kama ungetoa ushahidi kwamba mfumo (sijui upi) wa CCM ndo umesabibisha watendaji watende hivyo na UKAWA yaja na mfumo gani wa kubadilisha utendaji, ili hali tumeona juzi wakiwakaribisha mamluki bila kufuata utaratibu waliojiwekea kikatiba na Memorandum of Understanding ya UKAWA. Matatizo na kero za wananchi (mimi na wewe) yamesababishwa na utendaji wetu mbovu. Hatuwajibiki. Siamini kama CCM au UKAWA inamtuma konda wa Daladala kutoa matusi. Sidhani UKAWA ndo inawatuma mashabiki na wanachama wake kuchangia humu jamvini kwa matusi.