I salute you Mbowe

Tz huwez kuwa mpinzani wa kweli km una njaa njaa.
Mbowe analiandikia Taifa letu historia.
 

Punguza kuongea kwa kudhani
 
M nadhani ukomavu alounyesha mbowe wa kukubaliana na wenzie mzee wetu lowassa aongoze jahazi la mabadiliko ni jibu tosha kwa wale walokuwa wakimponda na siasa za maji taka kuwa mbowe alikuwa hataki kuachia wengine uenyekiti,kumbe kamanda alikuwa anafahamu walokuwa wakiutaka uenyekt walikuwa ni vibaraka wa watawala wangeiua chadema.Songa mbele kamanda freeman
 
Kipindi ndg zako wanakufa kwa kukosa huduma, wengine wanatibiwa ulaya. Blame yourself! Chagua UKAWA halafu kaa tu kama boga usubirie huduma ije mlangoni.

Ushabiki wenu ndio unawaaminisha hivyo.
boga ni wewe usiamini ktk mabadiliko, tena wengi wanaotaka mabadiliko ndio sisi wachapakazi, ukizoe kupata vya bure, kuiba au dhuluma huoni sababu ya ccm kutoka madarakani.
 
Kipindi ndg zako wanakufa kwa kukosa huduma, wengine wanatibiwa ulaya. Blame yourself! Chagua UKAWA halafu kaa tu kama boga usubirie huduma ije mlangoni.

Ushabiki wenu ndio unawaaminisha hivyo.
kweli wewe mbunye, hivi kuna suara la kuamini hapa, hivi hali ya maisha ya watazania wanyonge huioni. kweli kuna watu na viatu.
 
Kipindi ndg zako wanakufa kwa kukosa huduma, wengine wanatibiwa ulaya. Blame yourself! Chagua UKAWA halafu kaa tu kama boga usubirie huduma ije mlangoni.

Ushabiki wenu ndio unawaaminisha hivyo.
nakushauri uende kule Tandale Yemeni na sehemu nyingi uone maisha ya watanzania wa miaka hamsini ya utawala wa ccm harafu ulinganishe na hao wanaotaka uwapigie kura wanaoishi oystebay, masaki, mbezi, posta. Nenda na mikoa mingine ukalinganishe maisha ya hao wanaotaka uwapigie kura na hao wakupiga kura. Acha ushabiki wa kichoyo ili uambulie mifupa anayostahili mbwa wa maskini kule Nanjilinji.
 

Naomba tafsiri sahihi ya mtu mwenye kuheshimika katika jamii. Je, unayemtaja anakidhi vigezo hivyo, astahili pongezi zako na wanajamvi wamkubali! Au ni mihemko tu ya kisiasa, kama walivyochangia wengi mada yako?
 
Shikamoo Mbowe...Ni jabali lisilotetereka

Imagine Ni slaa aliyemshawishi Mbowe Kuhusu Lowasa

Baada ya maamuzi ya vikao Mbowe Amesimamia maamuzi....slaa Mposaji kasepa
 

Mimi mtoto wa maskini nilisoma hadi pale nilipoweza kufikia chini ya Utawala wa CCM, bila kubaguliwa kwa jinsi yoyote. Wengi wa Watanzania wana madaraka makubwa CCM na Serikalini bila kujali itikadi za vyama, dini, kabila na tofauti zozote zile. Kama kuna makosa yaliyofanywa na yanaoyofanywa sasa ni ya kiutendaji na ya mtu mmoja mmoja na si ya kimfumo. Ila kwa taarifa zinazotolewa humu jamvini, mh, Chama kinachongozwa na aliyesifiwa na mtoa mada, kina harufu ya kila aina ya ubaguzi! Itakuwaje kikiingia madarakani kuongoza nchi hii!

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 




LUPAYA KAZI IPO.... HATA KISWAHILI KIMEGOMA!!! ''NAURI YENYEWE YA DARADARA!!!!!..... SIO MCHEZO!!!!

SASA TUMIA lugha ya kimila!!!
 

Mkuu, mimi ni mwanaume LAKN 'POST YAKO IMENITOA MACHOZI'

MBOWE AMEACHA ALAMA YA USHUJAA WA AJABU NDANI YANGU. NITAMHESHIMU MAISHA YANGU YOTE.

MUNGU WA MBINGU AMLINDE SALAMA MAANA MAADUI WAKE HAWANA FURAHA KAMWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…