Ah Mr red nini banaaa!
As ante angelicious hapa ni mapendo daima!!!
wify karibu maziwa ila ni ya motoooo pooza kiasi ya moto ndo mazuri
wewe ndo mtu baki pekee niliyem-like kwenye huu uzi as was thinkinn of the same qn.Naomba kujua kama haya huwa yapo serious au ni yale matani ya daily
We are not jokin here man! We gat crious tok
eeh, basi sawa!All the best pendaneni milele na milele
Asante walii mweusii!karibu harusin
asante mkuu
vya TRUST
wewe ndo mtu baki pekee niliyem-like kwenye huu uzi as was thinkinn of the same qn.
BTW umeadimika sana rafiki.
to you thinky and Charity.............many congrats from me.............wish its not a joke as you've said and hope it wont end up here means mtatualika ubwabwani......
note:: mie ntaandaa chama changu cha sherehe mapambo ya ukumbi atakuwepo cacico, mavazi snowhite, mapish Farkinah na amu, mshehereshaji BAK vinywaji Asprin, walezi wa ndoa Fixed Point na Kaunga bendi itakayotumbuiza siku hiyo ni Leo tupo hapa band ikiongozwa na Madame B na mpiga solo wake maarufu Kipaji Halisi usafiri atakuwa Jiwe Linaloishi na camera man wetu atakuwa C6 mlinda mlango atakuwa Mentor.
Haya nawatakia kila la kheri, naomba kujua utaratibu wa sare unakuwaje?
naona unapendwa aisee una nyota ya chips nini?
hahahaaaaa. Mkuu nimefanikisha zile harusi za kichuochuo zaidi ya 7 hivyo ninauzoefu sema kwa sasa sina muda kutokana na kazi yangu nashinda sana site porini tena mikoani. Ila jipe moyo utafanikiwa mkuu wapo wengi tu humu wazoefu watakusaidia.
rafiki, siku hizi nakimbia sana swala la kulea ndoa za watu........ sijui ndo uzee umekolea.to you thinky and Charity.............many congrats from me.............wish its not a joke as you've said and hope it wont end up here means mtatualika ubwabwani......
note:: mie ntaandaa chama changu cha sherehe mapambo ya ukumbi atakuwepo cacico, mavazi snowhite, mapish Farkinah na amu, mshehereshaji BAK vinywaji Asprin, walezi wa ndoa Fixed Point na Kaunga bendi itakayotumbuiza siku hiyo ni Leo tupo hapa band ikiongozwa na Madame B na mpiga solo wake maarufu Kipaji Halisi usafiri atakuwa Jiwe Linaloishi na camera man wetu atakuwa C6 mlinda mlango atakuwa Mentor.
Angelicious swala la sare tushamuachia masai Dada!
whhhaaaaooooooohhhhhhhhhhhh!!!!!rafiki, siku hizi nakimbia sana swala la kulea ndoa za watu........ sijui ndo uzee umekolea.
BTW, juzi jopo la majaji walihalalisha ndoa yangu na yule mume rasmi, sasa ni mimi na yeye, yeye na mimi......katika shida na raha.........mpaka kifo kitutenganishe.
Nawe nakutakia kila la heri, take my advice seriously, hope hapa sasa babu Dark City ataelewa, lol!
Asante sana my dearest.... Nashukuru pia kwa maombi ya kila siku, lol!whhhaaaaooooooohhhhhhhhhhhh!!!!!
congrats my dearest!!!.................how lovely it is my dear??
nakuonea raha hadi nimeruka kwenye meza kama ndo mimi vile Mungu akutangulie sana katika maisha yenu.
waambie wanangu hongera sana kwa kumpata baba mwingine anayewajua kwa kula na kuvaa na kusoma zaid.