mkuu nazungumzia kumfungulia mtu sled.....soma vizuri
Loo kumbe we ni UKAWA????
Tobaaa!utafitii anataka asababishe majanga gan kwako???dyuteromaikota
mkuu harusi ni kisiwani ,kikao ni paris jipangeni sitaki kisicho quality.
nakupenda sana....
Pendaneni!!!
huyu jamaa ana kauri mbaya sana dadangu, we mwache tu.... nafikiri anatafuta bifu na watu
tena nasema pendaneni mana hiyo ndo amri kuu
Usihofu mkuu ngoja muheshimiwa BWANA HARUSI mtarajiwa anipe ushenga kwanza hayo yote yanawezekana.
Wageni wako hapa nyumbani mbona discpline hakuna
Naomba kujua kama haya huwa yapo serious au ni yale matani ya daily
We are not jokin here man! We gat crious tok
thibitisha kwa vipimo kamilifu venye utaratibu wa halisi kwamba itafika kwa walengwa
eeh, basi sawa!All the best pendaneni milele na milele