tena mie nahitaji muumini mmoja tu
kwako shaka sina zaidi ya ndoto tamu kila kukicha
karibu chai wify tena leo mimi ndo nilikuwa cook
i was building a palace for you darling ,sipendi uhangaike vumbini kwa ajili ya penz letu nikufly bas
when you are comfound then am your lovedoctor,ukiumwa tu nakupa tasty,passionate and sweetest pills just made only special for you
Mhhh love yah thinky...
unapenda kasuku wify?
you are the one am thinking,the one you hold my lovelife,queen of my passions,my true feelings,my everlasting soulmate,my love thermometer and with you my love mission is accomplished i real love you charty with truefriendship and realcommitment
Mkuu naomba kuwa mshenga wakupeleka posa na nitakuwa mwenyekiti wa vikao vya harusi. Makamu mwenyekiti Mshana Jr. Katibu Utafiti. Siku ya Harusi MC atakuwa Vaislay na Mpiga picha atakuwa Tayta.
haha carefree nitamwekwa kwenye cage yake nzuri ,namtafuta mwenye rangi nyingi iwe fahari ya macho,atakuwa anarudia tusemacho tena kisiwani what a sweetlife
Mhhhh namtumba Jana ulikua wapii kunogesha huu mtanange? Haya ma beibee thinky kakusikia anakuja.
Mkuu naomba kuwa mshenga wakupeleka posa na nitakuwa mwenyekiti wa vikao vya harusi. Makamu mwenyekiti Mshana Jr. Katibu Utafiti. Siku ya Harusi MC atakuwa Vaislay na Mpiga picha atakuwa Tayta.
Kwani hujawahi funguliwa ata?
Jana nilikuwa kule kwa muheshimiwa speaker kugombania Uzanzibar na Utanganyika. hahahaaa