Wisdom youlth
Member
- Sep 14, 2011
- 73
- 17
Msaada jamani iphone imeroga inatoa sound tu! Haisogei mbele wala nyuma ku crick ni double one click,, Program zilizipo chini hazipandi juu wala haziende left or right,,, plz msaada jamani.

Izime kwanza then toa betri na urudishe tena harufu iwashe labda imejamu 2!

tatizo la simu yako nishaijua ila siwezi kukuelekeza kwa hapa jinsi ya kutatua labda nipigie 0774439364 nitakuelekeza cha kufanya
Vumulia tuu wengine watakukejeli lakini wengine watakusaidia humuhumu jf. Kuna jamaa humu alikwa na tatizo la iPhone nadhani leo akasaidiwa!
tatizo la simu yako nishaijua ila siwezi kukuelekeza kwa hapa jinsi ya kutatua labda nipigie 0774439364 nitakuelekeza cha kufanya
I see RUBBISH again we mburula kweli hata IPHONE huijui
Msaada jamani iphone imeroga inatoa sound tu! Haisogei mbele wala nyuma ku crick ni double one click,, Program zilizipo chini hazipandi juu wala haziende left or right,,, plz msaada jamani.
Izime kwanza then toa betri na urudishe tena harufu iwashe labda imejamu 2!
duh! hii kali, enhe unatoaje?
Thats not how tech forums work!!
mndewa hatuendi hivyo.
labda ya kichina hiyo..hahahahahatangu ln i phone znatoka betri?