I phone 4

boda

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
354
Reaction score
303
I phone yangu imeharibika home button haifanyi kazi kabisa, nitafanyaje wadau iwe katika hali yake ya kawaida?
 

Attachments

  • 1404649059862.jpg
    42 KB · Views: 161
Unauza bei gani? Kwani hii yangu siwezi pata fundi akaitengeneza?
 
boda kawaida hiyo kutokea, ingia town tafuta fundi.
 
Last edited by a moderator:
kama mtundu just google
ama sivyo waone mafundi tatizo dogo sana
 
nunuwa yangu kaka...iphone 4...ipo vizuri kabisa, nime tumia miezi minne 25k!.
 
Nipo Kahama Shinyanga nimepeleka kwa mafundi wa hapa wanaishia kuifungua tu wananirudishia,wakasema wameshindwa
 
nadhani inabidi ununue housing nzima/ au itupe tu, sio issue
 
Poa mkuu bonna ngoja nicheki huo utaratibu wako
 
I phone yangu imeharibika home button haifanyi kazi kabisa, nitafanyaje wadau iwe katika hali yake ya kawaida?
tumia assistive Touch kwa muda mpaka hapo utakapotatua tatizo lake.. Nenda Settings-General-Accessibility-Assistive Touch weka 'On'..








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…