beast of kandahar Member Joined Jul 1, 2013 Posts 98 Reaction score 33 Nov 5, 2015 #1 wakuu msaada nna iphone 4 tatizo haikai na chaji kabisa na inapata moto sana ukiwa unatumia net,mwenye kufahamu ufumbuzi wa tatizo hili naomba anielimishe
wakuu msaada nna iphone 4 tatizo haikai na chaji kabisa na inapata moto sana ukiwa unatumia net,mwenye kufahamu ufumbuzi wa tatizo hili naomba anielimishe