Mimi nimeshatumia sana hizo ma ipad na mavitu kma hizo ,ila ntashangaa sana karne hii kama kuna mtu anatoa millioni mbili kununua kitu mkononi mwa mtu wala sio dukani , bila guarantee wala waranty wala receipt yoyote..