I Need ur Help Please

Yani mwaka jana ndo kamaliza form four...so wakati anatongozwa mara ya kwanza alikuwa darasa la sita ama la saba.
Hivi kwenye hii dhambi si hata sisi tutakaotoa ushauri tutahusika.

Bwana mdogo we kazana na BRN then uje hapa ulete mada ukimaliza chuo at least. Usijetusababishia dhambi wakubwa zako tukaonekana tunaharibu hii generation kumbe ilishaharibika
 
Uandishi wako utata mtupu, maelezo pia utata, sasa we dogo unasoma chuo gani vile
 
mwenyewe unaonekana unataka ushauri unaoendana na mawazo yako, sasa huo c ushauri km kwel unahitaji ushauri, km hutak kushauriwa we fwata mawazo yako then utakuja omba tena ushauri baada ya kutendwa.
 
shule zimeishafunguliwa muende shule eboo...
 
Wavulana bana...hebu kua kua kidogo walau uanze kuvaa suruali
 
Dah mkuu umenchekesha kinoma yan mnatongozana kitoto mbaya eti mara kakubali,mara ntakufkiria kesho,mara jana nlipitiwa wala skupend,mara nimekubali dah chamsingi uyo dem hana msmamo na ukiweka swag za kikubwa hana lolote uyo ila punguza ngonjera mkuu kwa dem
 
mfuate bhana. unampenda kwa sms..wapinzani wako wana mfuata wanaonesha physical expressions


nothing is a substitute of face to face talk.....even skype
 
nigekuwa na uwezo... ningebadilisha shule zote kuanzia primary mpaka sekondari kuwa za kijeshi tu!!
 
Hivi unajua hata mapenzi ni nini?unajua kama kuna ukimwi?unayapenda maisha yako?huyo msichana hajielewi na wewe ndo umeshakuwa zoba!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…