I Need ur Help Please

I Need ur Help Please

McDeedanny

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Ndugu zangu ninahitaji ushauri kabla sijafanya maamuzi yoyote,Kuna msichana nilitokea kumpenda sana,nilishawahi mtongoza ambyo hiyo ilikuwa mara ya kwanza ila alinitagaa kwakusema "sitaki mazoea na ww na ukiendelea kunifatafata nitamwambia Mama" kweli nish2ka sana kusikia mambo ya mama but nikaja kujua kwamba pia utoto ulikuwa unamsumbua hii ni ishu iliyo tokea Miaka 6 iliyopita,nikajipa Moyo kwamba bado ajakuwa na mm nilikuwa mdogo.sasa juzi mwaka jana ndo amemaliza 4m4,mwaka jana tarehe 29 ndo nilieza kuongea naye coz nilikuwa namwogopa sana hata salam nilikuwa siwezi kuitoa,sasa toka nimepata namba zake tarehe iyo tumeanza kuchat na hata kukutana,tarehe 1 nilijikaza nakuweza kumwambia Hisia zangu kwake chakushangaza Ameniambia ana mtu na anampenda sana nimemlilia na kumbembeleza hadi basi but yy anachosema nikwamba ananipenda ila anampenda zaidi hyo aliyekuwa naye sasa saa nyingine ananiambia ajui Tabia yangu saanyingine ananiambia siweze kukubalia kwa haraka saanyngine ndo hvy anasema anamtuu sasa nimeshindwa kumwelewa na juzi aliniambia sipende kukuona huna raha kwahiyo anaweza nikubalia ila hata nipenda anikubalie tuu, na chakushangaza zaidi kuna sku juzijuzi tuu alinikubalia kbsa ilikuwa usku nikamuuliza mara10 10 akasema amenikubalia na ananipenda ila ila skuamini ilipofika asbh ananiambia samahani sana jana nilikuwa sjielewe naomba nisamehe naomba tuendelee kuwa marafiki eti roho ilimuuma sana kwani amemsaliti jamaa aliye naye sasa,so wakuu nilikuwa naomba ushauri hyu msichana nifanye nn ili nimpate au ni give up japokuwa ningumu,au nifanye nn plz. I Need UR Help... Please

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
duh.
naona maongez yenu mengi ni ya simu/sms kwa sana .
u want u to man-up find a good place for you guys to talk(mkiwa pekeyenu) then tell.her what you feel n make sure unajipanga fresh. hapo ndio utajua vzuri.

nb:
dnt text her kila saa
dnt call her kila saa
dont tl her u love her,show her that.
alaf relax ...akikataa ww muache. f u play dis well atakutafuta.

peace
 
But sasa je kama ananipima kama na mpenda kweli coz kama nikisema nisimtxt kila saa si ndo ataona kama simpendee?? Au I'm wrong?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
......hii ni ishu iliyo tokea Miaka 6 iliyopita,nikajipa Moyo kwamba bado ajakuwa na mm nilikuwa mdogo.sasa juzi mwaka jana ndo amemaliza 4m4,mwaka jana tarehe 29 ndo nilieza kuongea naye coz nilikuwa namwogopa sana hata salam nilikuwa siwezi kuitoa, ....
Bwn mdogo, hiyo sentensi juu imenichanganya sana. Kwamba huyo binti ulimtokea miaka sita iliyopita na mwaka juzi ndo amemaliza form four. Maana yake kwa lugha rahisi, ulimtokea akiwa form one au form two, kweli mlikuwa watoto sana na bado ni watoto hata leo!

Majibu anayokupa huyo binti, yanaonyesha dalili za nataka sitaki, kwa watu wazima tumeshamuelewa! Ila kwa kutambua kuwa alimaliza form four mwaka juzi (na mwaka huu ndo kwanza Jan), nakushauri, muendelee kufocus kwenye masomo yenu ya elimu ya juu kuliko mliyonayo sasa maana mnaweza kujikuta mnapotezeana muda na kupoteza fursa za kujiendeleza kielimu ambazo ndo msingi wa maisha yenu yajayo.
 
Kasome bazazi mkubwa sana,umenikera kwa kweli,eti umemtongoza miaka sita iliyopita na mwaka jana ndio amemaliza form 4.Inamaana ulimtongoza akiwa darasa la sita au la tano hivi!Watu kama nyie mnatakiwa mfungiwe jiwe la kusagia na kutupwa baharini!Huoni huyo kama bado ni mtoto?Achana na zinaa,kama na wewe unasoma kasomeni kwanza.Ukiwa tayari umejikamilisha kimaisha oa,tulia na mkeo!P.u.m.b.a.f.u ukome kutongoza watoto wa shule!Darasa la tano tu ushaanza kumzengea?Mdogo wako wa darasa la tano ukimkuta amebananishwa na libazazi utajisikiaje?
 
Sawa mkuu I knw nafanya makosa but sasa hakuna asicho kijua kama angekuwa mtoto asingekuwa tayari kwenye Mahusiano,kaka kusema ukweli so mm tena mm so kwamba nipo unavyo fikira nimempita mwaka Mmoja tuu na sahv nipo chuo mwaka wakwanza na yy ndo amemaliza 4m4 mm sione kama kuna mtoto hapo sidhani kama hadi sahv anashndwa kuji control, she not a kid any more, ok umesema nimwache na mm nisome sasa wat hurt me nikwamba wababe wanamtumia while ninaupendo wakweli ni heri basi angeniambia ypo single wala haitaji mtuu sahv but anakuja niambia anamtuu kweli kaka inakuja kwam2 uliye mpenda toka sku nying.kaka hata kama ni ww lazima inauma sana aisee. Just take a look how it is

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
dah!
kaka hiyo typing yako tu inaonesha halmashauri yako ya ubongo hamna ushirikiano! [saa mbovu]
 
Mkazie tu..tuma mesej kila mara usichoke, tigo pesa, voda pesa mrushie tu hata kama hajakuomba, mpigie cm kila cku na hakikisha isipite wiki amuonani hata kama wewe uko chuo ..toroka mfate au mtumie nauli aje ilimradi muonane..
 
weee, yaaani na u-mwaka wako wa kwanza chuo (chuo gani? ama madrassa!) hujui kinachoendelea hapo? TETS II vp? Assignement umesha-submit?
 
u need to go school little bro....mapenzi yapo tu na wala usi yaforce,soma uwe na kazi yako nzuri utawapata watoto wazuri kushinda huyo,ukilazimisha atakukubalia then utakuwa unamegewa kila siku na sisi ma broza zako wenye uwezo wa kuonga vi Samsung galax hahaha
 
We hutaki kutoa hela unafikiri siku hizi kuna kukubaliwa bure!!!!
 
mwache binti asome,,... mpe ushauri huu shule kwanza mapenzi badae.....
 
Wanaume wengi wanapo t*ng *z* a huwa hawako serious kucheka kwa sana mara kubonyeza simu,mara kuangalia chini kama mwanamke.Be serious for what u talking with her,don't make lazy about it ushall end to see the picture of them.
 
Dah...! kweli wewe unahitaji msaada sio bure.
Jibu maswali haya kwanza.
Umesema una mapenzi ya kweli kwake mapenzi ya kweli ni yapi?
Umesema unasoma chuo mwaka wa kwanza je mapenzi yana nafasi gani katika masomo yako?
Umesema kamaliza form4 mwaka jana unamaanisha ulimtongoza akiwa darasa la 5?
Umesema inakuuma sana je unakovu lolote kuthibisha hilo?
Je unamtaka kwaajili tu ya ngono?
Na ukimpa mimba itakuwaje?
Wazazi wako wanajua?

Baada ya hapo msaada utafuata..!
 
Bwn mdogo, hiyo sentensi juu imenichanganya sana. Kwamba huyo binti ulimtokea miaka sita iliyopita na mwaka juzi ndo amemaliza form four. Maana yake kwa lugha rahisi, ulimtokea akiwa form one au form two, kweli mlikuwa watoto sana na bado ni watoto hata leo!

Majibu anayokupa huyo binti, yanaonyesha dalili za nataka sitaki, kwa watu wazima tumeshamuelewa! Ila kwa kutambua kuwa alimaliza form four mwaka juzi (na mwaka huu ndo kwanza Jan), nakushauri, muendelee kufocus kwenye masomo yenu ya elimu ya juu kuliko mliyonayo sasa maana mnaweza kujikuta mnapotezeana muda na kupoteza fursa za kujiendeleza kielimu ambazo ndo msingi wa maisha yenu yajayo.

well said
km una akili fuata huu ushauri
 
saa zingine nyie watoto muwe na adabu kha! hamjui humu kuna watu marika ya wazazi wenu? dogo muache huyo mtoto mwenzangu aendeleea na masomo yake kwa sasa kwani mambo ya mapenzi mkichanganya na shule itawakosti! nawe komaa na shule yako, mambop ya mapenzi huja automatically tu na km anakukataa jua kuna jambo la kheri utalipata kwa kukubali kuacha hiyo ishu kwa sasa.....someni jamani kha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom