Kwanza si kweli viwanda vilikufa nchi nzima kwa Mara moja.
Pia ujue kila mgombea anakuja vile yeye na Sera zake anazo ziona nisawa.Mfano mzuri Mkapa aliingia na Sera ya ubinafsishaji Mara huyu nguvu mpya
Sasa tunajichanganya wenyewe kwani si kila mtu anaweza kuwa Raisi.
Viwanda vili kufa kwani kila mtu anajua madarakani ni kipindi tuu kifupi napita kwa hiyo hata zikifa haziniusu.Maana ajaye sidhani kama atanirudisha hapa kwenye viwanda.
Ebu ona nadharia kama hizi zina tutafuna wenyewe.
Ila kama kungekuwa na mtu mmoja akavisimamia viwanda kama vyake hakika visinge kufa.