Mkuu pole sana!! Yaani tatizo kubwa la projector ni lens na kupata kwake ni lazima iwe mpya kwani huwa life time yake iko kwenye masaa!! Na kwa hapa tz cjui mi miaka kama miwili hivi ilinisumbua sana ya toshiba nilizunguka dar nzima hadi kuna mtu alikuwa anatoka USA akaniletea bei yake nilichoka ilikuwa tsh.laki tatu na nusu na life tyme yake ni 3000hrs!!! Ngoja wengine waje ila sidhani.