i need consideration jamani

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
tangu nimejiunga na chitchat naona kila mtu ana mke/mume wake,so natangaza nia nimechoka kuishi pekeyangu,kwahiyo natangaza nia alie tayari kuishi na vampire aliejizeekea(cow hazeeki maini) anakaribishwa,nimekua singo mda mref sana, baba v naomba unisaidie,natanguliza shukurani
 
Karibu sana katika chama cha wenye ndoa(c.c.w)
 

jipange. Una hela? Unataka nyumba ndogo au kubwa?
 

people do jokes here as entertainment!
 
Last edited by a moderator:
mimi sichagui hapa,uwe na gari au huna its not a problem,ila kama ni nyumba ndogo sitaki,nataka niwe big house
 
Unatafuta mwanaume? Anza kupangilia inavyotakiwa maneno yako,mavazi, kuna kina tedo Chilli ambao bado ni single


 
Last edited by a moderator:
msije tu kumrithisha makoloni ya watu kukatokea scramble and petition hapa ndani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…