msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
huo utongozaji wa zamani sana,we tangaza kwamba unatafuta demu wa kugegedaAm a man about 24 yrs. Accomplished university but not yet recruited into a job place. I need a girl to exchange views, ideas and all current issues relating with love affairs. If ur interested pliz pm me u will get response. Gals only.
Nimekuelewa mwalimu wa linguistics na yamkini hata nyie ndo mnafanya hao wanafunzi washindwe hata kiingereza cha kuombea maji.leonard mwenda niwie radhi kwa hili lakini kama ulianza kusoma Kiingereza tangu shule ya msingi mpaka ukamaliza chuo kikubwa halafu hii ndio aina ya uandishi uliyo nayo.... Please NO....!!!
Nioneshe mstari ninaionesha kwamba natafuta mwanamke hapo.Tafuta Kazi acha kutafuta wanawake
Kama ndo tabia zako uache mkuu! Kwamaana inaonekana experience unayo na hao wagegedaji!😎huo utongozaji wa zamani sana,we tangaza kwamba unatafuta demu wa kugegeda
Nimetangulia kuomba radhi kuonyesha uungwanaNimekuelewa mwalimu wa linguistics na yamkini hata nyie ndo mnafanya hao wanafunzi washindwe hata kiingereza cha kuombea maji.
Ok..mkuuNimetangulia kuomba radhi kuonyesha uungwana
Kama ndo tabia zako uache mkuu! Kwamaana inaonekana experience unayo na hao wagegedaji!😎
Hahahaha aksante mkuuni ushauri gani huo unaoutaka kutoka kwa manzi tu wakati we mtoto wa kiume,acha tamaa za ajabu ajabu,sikuhizi watu wanaenda straight kila mtu na yake swagger za kugandana kama luba ni TBT
Usimaind mwana kila la heri kwenye utafutaji wako,ukipata nirushie mmoja kizuri kula na nduguyoHahahaha aksante mkuu
Nikisha exchange naye ideas ntakupa na wew ubadilishe nae mawazo kidogoUsimaind mwana kila la heri kwenye utafutaji wako,ukipata nirushie mmoja kizuri kula na nduguyo