i miss you Simba tv!

i miss you Simba tv!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
ni tv iliyokuwa ndani ya tv ya clouds,ilizinduliwa kwa mbwembwe nyingi,Mawaziri na watu wenye heshima zao walishiriki kuizindua ,tena kwa vinywaji na pilau ya kutosha,wakadai wao ndo wa kwanza kumiliki tv hapa bongo,wakadai wamebakiza kuzindua redio tu.Lakini tv hiyo imepotea ghafla kama popobawa.wahusika hebu tusaidieni majibu,kina shafii,rage,kamwagamwaga mpo!?:A S-confused1::A S-confused1:
 
Mkutano mkuuu ulishapita.? Wajinga ndo waliwao,cheze rage mzee wa bastora
 
Mzee wa bastola kawashika vibaya wanamsimbazi, hivi ule mkataba wa kujenga uwanja makandarasi wameanza kazi.!!
 
Kesho ni tarehe 9,binafsi nitasafiri na Precision kutoka Mwanza to Dar,na Flight nitakayopanda nimesikia itaanzia Entebbe kama Kamwaga atakuwa ameongea neno la kwanza la ukweli naweza kuwa na Okwi kwenye board kesho,let me wait and see.
Mana'ke I real miss him,toka imeanza kusemwa atakuja-atakuja,simuoni aisee!
 
mimi nafikiri hawana hela za kulipia kodi ya bandari au labda bado inatengenezwa au imeshauzwa na wajanja au wasahau walipoiweka au aise nimeishiwa na sababu hebu wacha tuwasikilize jamaa.:nerd:
 
Kweli Simba wanapaswa kutoa maelezo ya kina, nini kimetokea TV haipo hewani. Tusubiri, au.....?
 
Kesho ni tarehe 9,binafsi nitasafiri na Precision kutoka Mwanza to Dar,na Flight nitakayopanda nimesikia itaanzia Entebbe kama Kamwaga atakuwa ameongea neno la kwanza la ukweli naweza kuwa na Okwi kwenye board kesho,let me wait and see.
Mana'ke I real miss him,toka imeanza kusemwa atakuja-atakuja,simuoni aisee!
Vipi bado hujashuka kwenye ndege? Hata kama bado hujashuka mbona hutupi habari za Okwi kama amekuja au la?
 
ni tv iliyokuwa ndani ya tv ya clouds,ilizinduliwa kwa mbwembwe nyingi,Mawaziri na watu wenye heshima zao walishiriki kuizindua ,tena kwa vinywaji na pilau ya kutosha,wakadai wao ndo wa kwanza kumiliki tv hapa bongo,wakadai wamebakiza kuzindua redio tu.Lakini tv hiyo imepotea ghafla kama popobawa.wahusika hebu tusaidieni majibu,kina shafii,rage,kamwagamwaga mpo!?:A S-confused1::A S-confused1:

Ahadi za viongozi wa Simba ni kama za wale wa CCM.

Inabidi akina Masuke, Ndetichia, nk waanzishe G55 yao au wajiunge na M4C ya pale mtaa wa pili!!
 
msinikumbushe ya okwi maana ngasa alivyoenda nje tuliona picha hadi clip hivyo hivyo kwa bocoo mboni huyu okwi hata negative hatujaona ngoja tuone kesho..

viva la azam fc
 
Back
Top Bottom