Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
- Thread starter
-
- #541
Mndengereko hivi ndoa yako humu ndani ni ipi maana naona unataka kuchukua tabia za ubazazi kupenda penda mara Khantwe, mara miss chagga, mara miss neddy hebu kuwa wazi utafiti nakuangalia tuu
Tized let her free dont force love.... she is tiredOooooopps!!! oohh really!! then have him as a whole as am not in a position to do the boy is mine,
let me get on poporing and kula ujana, I see a crush is coming..........................
Tized have her as she claims let me free, free like a molecule
nimeamka salama baba ,,,,, baba nakusubiria kile kikao baba yanguBaby wangu umeamkaje?
Kaka ushaamka? Naona Mndengereko kaja na speed 120 vipi si atawamaliza wote?
nimeamka salama baba ,,,,, baba nakusubiria kile kikao baba yangu
Mndengereko hivi ndoa yako humu ndani ni ipi maana naona unataka kuchukua tabia za ubazazi kupenda penda mara Khantwe, mara miss chagga, mara miss neddy hebu kuwa wazi utafiti nakuangalia tuu
Kipo mwanangu nikimaliza kazi nakuja.
Atakuwa Mndengereko mwingne huyo cyo mimi.
naona unatafuta stata kwa Khantwe sasa sipiti leoEshy m.s ni Mndengereko huyo huyo unayemjua wewe hakuna mwingine maana ana michepuko kibao Kasinde nimekumissije aise toka juzi sijakutia machoni bana mzima wewe dear miss chagga leo pitia home nina hamu na wewe mbaya nikutie machoni tuu Khantwe hebu kuja hapa naomba kiss ya mdomo fwasta kabla Ntuzu hajaamka utafiti mzima wewe na Tized anaendeleaje huko Excel kala ban nini tena amefanya au ameenda jukwaa la stress kule kubishana
Eshy m.s ni Mndengereko huyo huyo unayemjua wewe hakuna mwingine maana ana michepuko kibao Kasinde nimekumissije aise toka juzi sijakutia machoni bana mzima wewe dear miss chagga leo pitia home nina hamu na wewe mbaya nikutie machoni tuu Khantwe hebu kuja hapa naomba kiss ya mdomo fwasta kabla Ntuzu hajaamka utafiti mzima wewe na Tized anaendeleaje huko Excel kala ban nini tena amefanya au ameenda jukwaa la stress kule kubishana
naona unatafuta stata kwa Khantwe sasa sipiti leo
ameniambia sio yeye
Aya napita ila andaa laki tano ya matumizNo no miss chagga nilikuwa namwambia amkiss Ntuzu kiss ya mdomo maana amemmiss sana
Pitia bana acha kutikisa kibiriti ujue kimejaa na ukicheza kitamwagika
Kakudanganya huyo Mndengereko hebu muulize vizuri na wakati unamuuliza mwangalie usoni
iko tayari kabisa we pitia tuu aise na uje umejiandaa kabisa kwa mechi ya pool table maana leo ni kucheza usiku kuchaAya napita ila andaa laki tano ya matumiz
oooh! babe umzima wewe?