MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 847
Muwe mnazisema basi hizo "I love you" mabinti wanakosa raha kama hawazisikii
Ha ha ha ha LOL! Lizy....akishakuwa mbwii ndiyo anakuona unameremeta kama malaika 😉....We Mke wangu unajua mimi nakupenda sana wewe!?...ha ha ha ha....Do you know that!?....I love u!...kumbe ana lake jambo 😉...akiamka asubuhi anauchuna husikii tena I love you mpaka akamate masanga tena...LOL!
Nakwambia we acha tu, sijui huwa ananisahau akilewaga? Pombe zikimuisha kichwani huisikii tena lol.
Lakini wanadai kujua mtu anasema ukweli subiri akiwa amelewa au akiwa ana hasira, labda kweli huwa anamaamisha ananipenda, kwi kwi kwi kwi.... Kujifariji ruksa lol.
Week end njema.
Hivi I love you kwa wakaka kwa wadada maana yake ni I love to have a fu.ck with you? Nimeisha wahi itumia hivyo mara kadhaa no love but a simple fu.ck
hivi kwa nini inakuwaga ngumu kulitoa hili neno!!!?mamsap huwa analisema mara nyingi tunapokuwa tunakula chakula cha ndoa tu siku hizi!! yaani sitalisikia tena hadi tunapokutana tena! nadhani ikitokea tukapitiliza miezi mitatu litakuwa limeshafutika kabisa, mara nyingine huwa analitamka ninapokuwa safarini....nadhani hapa linakuwa kama warning zaidi kwa kipindi hiki...............
I love u dad it means.....thanx for the cash..
I love u mom it means......thanx for everything...
I love u to ur gf it means.....lets have sex...
Kwanini badala ya kusema I love you sema NAKUPENDA? Hivi ni kweli watu wengi hupenda kusema I love you kuliko Nakupenda?
I love u ni maneno ya ajabu sana hata mtu ambaye TZ hajsoma wala hajui English anayafahamu haya maneo.