I love you ladies

😀
We nawe!, please don't spoil the party. 😀
Hahahah usjal nshamuambia huyo still.bado one wrong doesnt make right mwanamke mmoja hata kama alikua na roho mbaya ama roho ya kutu ama alikua hana mapenz kwangu basi sio lazima niwachukie wanawake wazuri..koz najua wengi ni wazuri wanapenda kweli na wapo somewhere hata humu wapo they are loving anda caring...romantic vinadeka hivoo ...on bed wanajitahidi wamo ...vikipenda vinapenda kweli na hua wanapendwa pia wakpata real,caring and loving man ..nawapendaga sana
 
Reactions: kui


Tunapenda sana wanaume kama wewe.
Halafu mnakuwaga wachache sana, ndo tatizo.

Keep't up.
 
Tunapenda sana wanaume kama wewe.
Halafu mnakuwaga wachache sana, ndo tatizo.

Keep't up.
Na mimi napenda wanawake kama wewe wanaotambua hilo uliloliona my dear
ngoja nijipigie debe kabisa hapa uskute nahangaika bure kumbe ur kind of woman am looking for[emoji5][emoji5][emoji5]
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…