BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
[emoji3]haya mkuu shukranNimekipenda kibwagizo chako mkuu!
Thanks my shunieNa sisi tunakupenda pia
Asante pia my dear valentinaAsante kwa upendo wako
Ooh [emoji5][emoji7][emoji9] tooWe love you more[emoji8]
any tym PATO221:Thanks my shunie
[emoji177]any tym PATO221:
Na muendelee kutuchuna na kutubwaga,maana hamna namna,.,.eti baby ooh wewe baby umejaa moyoni mwangu,.,.,ooh baby niko tayari kufa kwa ajili yako,.,.,.,.mhh kumbe ni unene wa wallet ndio umejaa moyoni au vipi?mhhh Valentina jamani mtuonee huruma jamani.Asante kwa upendo wako
[emoji23][emoji16][emoji16] sio wote mkuu..wapo wanawake bana very special hawana hizo mambo na wengi wenye hayo mambo mwisho wao sio mzuri.Na muendelee kutuchuna na kutubwaga,maana hamna namna,.,.eti baby ooh wewe baby umejaa moyoni mwangu,.,.,ooh baby niko tayari kufa kwa ajili yako,.,.,.,.mhh kumbe ni unene wa wallet ndio umejaa moyoni au vipi?mhhh Valentina jamani mtuonee huruma jamani.
Pamoja feittyAhsante mpendwa
We also love u,blessed for having good perception toward ladies coz nobody perfect even man hurts the ladies,but haina maana kumuapproach mtu while huna future nae,inaumizaaa kiukweli,all in all,barikiwa sanaKiukweli japo malalamiko mengi yanawahusu ukijirajibu kuangalia thread nyingi chanzo ni mwanamke kama kuna mmoja amerukwa akili sababu mwanamke amemuacha bila sababu na ilihali amemtoa mbali leo hii anamuona hana thamani tena.
Ukiacha hilo kuna wakati hua mnalalamika kua mwanaume lazima amtake care mwanamke wake na atimize responsibility kwa uwezo wake sasa mmoja kafanya hivo lakini mwanaume amepewa asante ya kuonyeshwa dharau.
All in all still bado nawapenda wadada sana and especially those special ladies najua wapo wadada wazuri sio nje tu bali hata ndani ya moyo they are just somewhere waiting for that special man for him. Najua hata hapa JF wapo, nawambia nawapenda sana muendelee hivo hivo ndivo maandiko yanavosema tupendane, Mungu awabariki kwa lolote mnalofanya. Kwa wale wenye roho za kutu na roho za kinyama basi endeleeni hivo hivo tuone mtaishia wapi.
"""Tender lips that's so so sweet
Gentle words she softly speaks
Such an angel when we need
GOD bless the ground beneath her feet
She can take you on a high
Be your comfort when you cry
But if you look into her eyes
You'll see the strength of a woman""""
Much love to you fernanda [emoji11][emoji7]We also love u,blessed for having good perception toward ladies coz nobody perfect even man hurts the ladies,but haina maana kumuapproach mtu while huna future nae,inaumizaaa kiukweli,all in all,barikiwa sana
And I love you..When we are togetherKiukweli japo malalamiko mengi yanawahusu ukijirajibu kuangalia thread nyingi chanzo ni mwanamke kama kuna mmoja amerukwa akili sababu mwanamke amemuacha bila sababu na ilihali amemtoa mbali leo hii anamuona hana thamani tena.