I love you ladies...yes i love you so much!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I love you ladies...yes i love you so much!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NewDawnTz, Jan 19, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama wewe ni mwanamke, tafadhali pokea pongezi na furaha yangu kwa dunia hii kuwa na viumbe adhimu na wa pekee wa aina yenu. Ahimidiwe Mungu aliegundua dunia bila ninyi haikaliki (kama unaamini uumbaji)


  • Nawapenda kwa tofauti mnayofanya kwenye dunia yetu. Each new day, women make some difference in this world. Yes indeed.....Its unfortunately not seen by many, but you are so fantastic


  • Najaribu kufikiri namna mlivyobeba mimba za watu kama mimi kasha zikaitwa "zisizopangiliwa" na mwaliowapa mimba wakawakimbia….hata hivyo, you never give it up, you carried us through alone mpaka tukazaliwa…kwa nini nisiwapende jamani?


  • Navuta kumbukumbu mnavyotumia siku yenu kufikiria na kuwazia watoto wenu zaidi ya sisi wanaume tunavyofanya. Kwa mbali namuona mwanaume anamka asubuhi na kupiga starter ya gari kuona kama iko vizuri kwendea ofisini kisha anarudi ndani na kupanga makabrasha yake wakati mwanamke ndani anaandaa mavazi ya mwanaume kwenda kazini na mtoto kwenda shule (huku akitakiwa kujiandaa mwenyewe kwa kuwahi kazini)


  • Navuta hisia baba yuko busy na laptop pembeni wakati attention ya mama iko kwenye kumfundisha mwanae kuvaa vema suruali au kaptura yake


  • Navuta hisia za wakti ule nilipokuwa nikiishi bila mwanamke ndani ya nyumba yangu…nilifanya mengi nikafanikiwa na mengine sikuona umuhimu wa kuyafanya. Alipoingia tu ndani ya nyumba yangu mwanamke, she made a difference. Nikaanza kufanikiwa zaidi ya awali na zaidi nikaanza kuona yale niliyokuwa naona hayana maana kwa sasa kuwa ya maana. I mean, your presence and advises in our lives, take us into highest reaches, viwango vikubwa zaidi ya kama hamko kwenye maisha yetu


  • Jamani nyie ni fluid ya dunia hii. Ni sawa na zile za kwenye magari kuzuia msuguano unaoweza haribu vyuma kwenye gari. Ninyi mnaifanya dunia ikalike. You are the fluid na mnajua kuweka balance nzuri. We angalia hata hapa JF, tukishatifuana kule kwenye Jukwaa la kupandisha viharusi na kufanya systolic-over-diastolic readings zetu ziwe juu, tunakimbilia huku....ukifika huku unakuta kuna Preta....unapata neno moja na kiharusi chote chali...unamkuta Rose1980, mara hujakaa vizuru mara AfroDenzi na wengineo wengi...pressure inashuka na unarudi tena Jukwaa la makeke ya kina DSM na Zomba.


  Ni mengi kwa kweli na siwezi kuyamaliza hapa. Wenyewe mnayajua na wanaume ni mashahidi wa haya, mimi nikiwa mstari wa mbele

  Nawachukia sana wanaowafanyia haya


  • Wanaume wanowaona si mali kitu wakati mliwabeba miezi na miezi matumboni mwenu. Hebu waambieni wanaowadharau wajaribu kufunga matambara kwenye matumbo yao na watembee nayo kwa siku nzima kama wataweza…thubutu, hii ya kupigwa mateke tumboni ni hatari, nakumbuka wife alivyokuwa akilalamika bwa mdogo anamkandamiza mateke na magumi tumboni....naamini ni kweli...

  • Wanaume wanaowapiga…hawa nawachukia zaidi. Sijui jibu la ni kwa nini mwanaume anafikia hatua ya kumpiga mwanamke. Nimejiandikia kati ya ujinga nitakaofanya duniani ni kuinua mkono wangu kumgusa mwanamke…nikikasirika sana na mkono ukiwahsa nitapiga ukuta, ila kwa mwanamke sitampiga, nitamnunulia zawadi nzuri itakayomfanya avute masikio yake nimueleze kuwa alinikosea na nikajisikia vibaya

  • Wale wanaowafanya kama substances/instruments fulani za purpose ya ku-serve shida zao za muda. Hawa wanajiita playboys, mabingwa wa hit and run…..Hawajui utamu wa kukaa na nyie ndani. Wangejua wangeamua kukubaliana na mmoja na kukaa nae ndani na hatimaye kupata ile raha ya kukaa na nyie kwa utulivu

  Hebu nisiwachoshe JAMANI WAPENZI WANGU LADIES, NI MENGI NINGESEMA ILA FAHAMUNI TU KUWA NAWAPENDA KWA SABABU YOU MAKE THIS WORLD HABITABLE AND DIFFERENT AND YOU TAKE MEN HIGHER JAPO HUWA TUNAJIDAI HATUONI (Sio kuwa hatuoni, ila huwa tunajiai hatuoni).
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa kutupenda na kutambua thamani yetu.
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  basi watakavyo kuja mibichwa imevimba hapa mh! l.o.l
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hashy Mkuu, we unasemaje, we mwenyewe si unajua umuhimu wa hawa watu duniani?...

  They can not be compared with anything, they are far more than anything
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Thanks so much and for you sure we cant live without you guys,no mata wat u pipo are alwaz part of us,If u respect a woman u first respect ur mom,siz and all the woman in the wolrd! Go and listen to R kelly in When a woman loves She, she loves for real When a woman loves She, she, she loves for real She took me back After I broke her..........................
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Thank you sweetheart...nyie ni wa maana sana, HAKUNA ANAESTAHILI KUVIMBA KICHWA MBELE YENU

  Nwapenda sana, tena sana kwa kuwa mnastahili upendo maana mnasambaza upendo kwenye dunia hii
   
 7. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh!!! Umenishawishi KUOA mkuu ASAP!!!!
  Thanks!!

  [*]Navuta hisia za wakti ule nilipokuwa nikiishi bila mwanamke ndani ya nyumba yangu…nilifanya mengi nikafanikiwa na mengine sikuona umuhimu wa kuyafanya. Alipoingia tu ndani ya nyumba yangu mwanamke, she made a difference. Nikaanza kufanikiwa zaidi ya awali na zaidi nikaanza kuona yale niliyokuwa naona hayana maana kwa sasa kuwa ya maana. I mean, your presence and advises in our lives, take us into highest reaches, viwango vikubwa zaidi ya kama hamko kwenye maisha yetu
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  for sure man! hata nikiingia disko nisipo wakuta wa kutosha natembea zangu l.o.l
   
 9. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Yes Pearl darling, i appreciate your piece so much...it is this LOVE from you that make this world different...to make thing better, men must realize that you are WOOOWW!!!!
   
 10. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hahahaaaa!!! Hashy bana...umenipa raha mkuu.....ukiwakosa kila kitu hakiendi, lazima utambae

  Mimi hata nilipokuwa mwanafunzi nikiwakosa pembeni yangu havipandi kabisa...kichwa kitupuuuuu!!
   
 11. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante sana kwa kutupenda
   
 12. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Engineer karibu sana, iko raha yake bana
   
 13. CPU

  CPU JF Gold Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmmmh! Hizi sifa balaa
   
 14. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Thre are very few men who say am sorry,I love you,who real confess that without women and ofcourse God they couldnt make it,thats to you and am real proud of u coz u real knw the sthrength of a woman and can confess it,say hi to the lucy one and she should alwaz be by ur side,be blessed.
   
 15. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nilidhani KARAHA ndo nyingi zaidi mkuu!!!

   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mi nadhani Wanawake wapo kwa ajiri ya kukamilisha ukamilifu wa Wanaume. Vivo hivyo Wanaume hukamilisha ukamilifu wa Wanawake. Bila wanaume usingeuona upendo wa wanawake hapa duniani. So there is no superior btn Men and Women
   
 17. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Thanks Pearl...she has your words...

  This is my diet...everyday before getting my sleep i had to appreciate...i had to tell her what makes me happy about her such day and not of the past experience. This made her know that everyday she has to do something different to win my appreciation (si mnajua mnavyopenda appreciation, mmhhh) then this is what makes my marriage so strong.

  No appreciation, relationship is in jeopardy
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru kwa kuujua umuhimu wetu ,mungu akuzidishie upendo zaidi
   
 19. LD

  LD JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Thanks kwa kutupenda, Mungu akulinde uishi miaka mingi, uwaone wajukuu wa watoto wako. BARIKIWA
   
 20. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kweli CPU....but you know what, men we do not appreciate kwamba hawa watu ni tofauti and we always want to be over and above them and even if they do something good we do not appreacite kwa kule kuona wao wanalazimika kufanya hivyo

  Hili linatufanya tusiwape heshima yao na madhara yake ni kuwa tunajikuta automatically tumejiweka kwenye superior position inayowaathiri na kuathiri mahusiano yetu

  Kupenda na kudumisha uhusiano inaanza mara pale mwanaume anapotambua umuhimu na upkee wa mwanamke, na mwanamke vilevile
   
Loading...