Hahahaha nashukuru umekuwa mkweli. Sometimes inaleta wivu jamani, tena usiombe huo muda wewe upo single au ndo hata hujielewi, afu watu wapo busy kuweka picha na status za malovee,... utahisi wanakufanyia makusudi, kumbe watu wanajifanyia yao tu kwi kwi kwi