Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
mara engaged
Masaa' al-khayr Husninyo....
ndo nin?
Maini..
ya nini?
Ya nzi
nzi yupi?
Wa kijani
kijani ipi?
Kijani kibichi
kipike kiive.
Kikiiva utakila?
ntakilamba.
Unapenda kuramba wewe eeh?
Kama kuiramba nyo basi napenda...
ndo nin hiyo?
Kama hiyo ulonayo wewe
akuuuuu! mi thina.