Eeeh wewe humjui RRONDO. Ngoja nisitoe siri za kambi. Ila kama angeweza basi angejenga nyumba yake+ office+ kanisa + Kila kitu palepale kwenye kivuko ili awatizame vizuri wale watoto wakareee
Eeeh basi hongera yenuAheri Yeye Anakaa Tu Anaangalia.Mimi Nakata Tiketi Hata Mara5 Naenda Na Kurudi
Teh na nini jamani?Umenichekesha Heaven
Khaaa niweke picha yangu hapa uanze kunicompare na Hao watoto wazuri wa ferry na mwenge sijui? Mbona unataka kuniua kisaikolojia tehHapa Kazi Tu,weka Picha Yako Niione Heaven
Mie ashaniona tu paulo bana teh.. so just endelea tu kuenjoy na fahari za macho mkuuKila Mtu Ana Uzuri Wake.Nafurahia Tu Nikuone
Ha Ha Sometimes Unaweza Ukapitishwa Kituo
Teh teh..Kweli umeanza kuwehuka..Mbona wachanganya madesaWacha weeee!!! Ila tukiwa dubei marufuku kugeuza geuza shingo la sivyo ukiirudisha utakuta nami nimepotea.
Teh teh..Kweli umeanza kuwehuka..Mbona wachanganya madesa
Nafikiria adhabu ya kukupa
Maombi yanahitajika mpendwa, sio kwa mahaba haya(in lowasa's voice)
Yaani wewe ndio inabidi nikupe adhabu maana haiwezekani namquote mwingine huku mawazo yako kwako.
Matatizo yako nayajua..We hauhitaji maombi..u jst nid a doctor..and the good news is, I am the best doctor in town..So usijali