Me Napenda Sana Katika Pitapita Niwaone Warembo.Nikiwa Nasafiri Niwaone Kwenye Bus,nikiwa Uwanjani Wakishangilia Napenda Sana,nikifundisha Niwaone Darasani Japo Ni Wadogo Zangu Na Nawaheshimu.Nikiangalia Tv Nawacheki,kwenye Sherehe Bila Wao Haifani. nikiwa Jf Nikiona Comments Za Kina Salt,rubii Na Roza Na Wengine Napenda Sana.Dunia Tam Jamani Sema Maisha Mafupi
Hahaha. Nikajua Tyrese katua MMU. I like them girls too.
Aisee mimi huwa naburudika kwenye foleni ya ferry....Huwa nashangaa masaa mawili yamepita nasubiria pantoni bila kuchoka kwa sababu ya warembo wanaopita kupanda pantoni!!!! Hawa akina housegirl Heaven Sent atoto miss chagga wanafanya dunia iwe sehemu nzuri sana...

Hahaha yani wewe nimeshakupoteza ferry..... I like 'em boys very much
What do you know looooohI know that, teh teh teh!
Eeeh wewe humjui RRONDO. Ngoja nisitoe siri za kambi. Ila kama angeweza basi angejenga nyumba yake+ office+ kanisa + Kila kitu palepale kwenye kivuko ili awatizame vizuri wale watoto wakareeeHaibiwi.Hapa Kazi Tu(anawatazama Tu Ha Ha Ha Haa)